Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 248
Ayesha akiwa na mume wake Steph
Mke wa mchezaji mahiri na wa Basketball,; Steph Curry, katika mahojiano na chombo kimoja cha habari amedai kwamba anashangaa na wakati mwingine anasikitika kwanini tangu ameolewa na mumewe hajawahi kutongozwa na mwanaume yoyote mwingine, anasema jambo hilo linamsikitisha na anahisi kuna tatizo.
Nini maoni yenu wadau?