Ayesha Curry: Kwanini sitongozwi?

Hajulikani

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
273
248
94591C24-0BA3-4285-BE1D-61E23B6FB8D1.jpeg

Ayesha akiwa na mume wake Steph

Mke wa mchezaji mahiri na wa Basketball,; Steph Curry, katika mahojiano na chombo kimoja cha habari amedai kwamba anashangaa na wakati mwingine anasikitika kwanini tangu ameolewa na mumewe hajawahi kutongozwa na mwanaume yoyote mwingine, anasema jambo hilo linamsikitisha na anahisi kuna tatizo.

Nini maoni yenu wadau?
 
Ungeweka kapicha tumuone.

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe na Shetani waliyeongea naye.
Mke wa mchezaji mahiri na wa Basketball,; Steph Curry, katika mahojiano na chombo kimoja cha habari amedai kwamba anashangaa na wakati mwingine anasikitika kwanini tangu ameolewa na mumewe hajawahi kutongozwa na mwanaume yoyote mwingine, anasema jambo hilo linamsikitisha na anahisi kuna tatizo.

Nini maoni yenu wadau
 
Steph is just an expert in 3 pts...

Hakuna kitu kingine anaweza sana kuzidi wengine zaidi ya hiyo...

That being said, huwezi fananisha Steph na MJ, unless you didn't watch MJ playin in his prime time...MJ was just MJ....
Daahh tuacheni masihara ..nime watizama kina Michael Jordan ..Rodman. na manguli kibao wa mchezo wa kikapu .

Ila dahh huyo stephen curry ni genius ameshindikana
 
Mkuu acha masihara, mimi ni shabiki mkubwa wa GSW team, na mchezaji ninayemkubali NBA nziima kwa sasa ni Curry, ila hauwezi kumfananisha na Jordan hata kidogo, utakuwa umemtukana MJ, usimfananishe na hawa watoto wa siku hizi.
Heshima yake ilindwe.

Hapana nime mtizama curry nime mtizama Jordan nathubutu kusema hivi jordan anajua sana lakini kwa curry hapana aise...jamaa anatisha ni hatari sana kuliko hata VVU ni kama mzimu..jamaa the way anavyopiga chenga na magoli anayoshinda Ooh my gosh ni habari nyingine ile
 
Steph is just an expert in 3 pts...

Hakuna kitu kingine anaweza sana kuzidi wengine zaidi ya hiyo...

That being said, huwezi fananisha Steph na MJ, unless you didn't watch MJ playin in his prime time...MJ was just MJ....
Nimemuona Mj " curry yuko mbali zaidi kiuwezo kuliko Mj " mara nyingi katika maisha watu wa zamani ndio huwa tulivyo huwaga tunapenda Sana kuamini kwamba " vilivyopo katika wakati wetu ndio vilikuwa bora kuliko wakati uliopo au ujao ...kitu ambacho sio kweli ....

Curry ana sifa zote ana kasi ya ajabu.anapiga chenga ambazo hauwezi kuziona kwa mtu yeyote.. anafunga magoli katika nyakati zote tena haswaa katika nyakati ngumu ..sehemu ambayo mchezaji mwingine hawezi kushinda curry anashinda ' ijapo kuwa ana kimo cha wastani lakini anafanya vitu vikubwa ambavyo vimewazidi mijitu ya miraba minne .... bado nasimamia maneno yangu hakuna kama curry
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom