Ayesha Curry: Kwanini sitongozwi?

Siyo star bado, anasafiria nyota ya mume wake. Na ana force recognition ili kuongeza viewers kwenye kazi zake, ndiyo maana ya kuja na hizo controversial comments.

So far amewin, maana amekuwa kwenye mjadala sana mpaka JF imetufikia.
Kwao huko lazima atakuwa star labda huku ndio hatumjui. Ni kama vile Wema Sepenga huku kwetu star ila hapo Malawi tu watu hawamjui
 
Kuna kipindi cha 2015/16 wakati wanavunja record ya Bulls kwa 72/10 Curry aliingizwa kwenye debate ya top 5 best player to ever play.

Baada ya KD kujoin sisikii tena hizo kelele. Hata kwenye best 10 hazungumziwi.
Ila jana ameonyesha uwezo wa kiwango chake,tusubiri next p off tuone ikiwa KD yupo nje

Kuna mchambuzi you tube amesema hawa jamaa ni hatari bila KD

Wameninyima raha wehu hawa
 
Kwao huko lazima atakuwa star labda huku ndio hatumjui. Ni kama vile Wema Sepenga huku kwetu star ila hapo Malawi tu watu hawamjui

Hata huko kwao bado sana, kujulikana kwake ni kupitia kwa mume wake.

Currently ana followers around mil 6 kwenye mitandao, hiyo ni below average kwa mastar ambao wako active kwenye mitandao, na mostly ni wale ambao wengi wana mfollow mume wake.
 
Hahah...

Curry ana dunk like any other NBA player ni vile tu hayupo aggressive in doing that tokea akiwa college...he has trained himself to follow his dad's footsteps za kuwa 3pts baller mzuri na amekuwa hivyo...

Unajua Donovan Mitchel, Russell Westbrook wote wapo height(6'3) moja na Curry na wana dunk muda wote na ni play makers pia...or DWayde au John Wall (6'4) wamemzidi Curry just by an inch lakini wana dunk muda wote...

Hata tukija kwenye ball handling, bado kuna wanaomzidi Curry mfano Kyrie Irving...

Statistics nyingine za mtu wa kimo chake kama double-doubles hayupo, mid range 2-points hayupo...
Hajawa tu serious

Kuna Nate Robinson nadhani ni mfupi kwa Curry ila ni msumbufu kinoma
 
Curry ni mchezaji hatari sana kwa style ya ss

MJ ni hatari kwa style iliyopita

Ila MJ binafsi ashafanya yote anayofanya Curry

Siku hz game imefanywa kuwa rahisi ndo maana hata big mens wanachapa 3

Honestly kwa zile skills za curry nazo ziona " na zile za mj ambazo nimeziona nachelea kusema curry ni bora kuliko mj .Mj yuko overrated tu dhidi ya curry ...jamaa ana cheza mpira huku team nzima ikiwa imeweka matumaini kwake ..anafunga magoli ya aina yote ..sehemu anayo funga au kutoa pasi hauwezi kutarajia ...licha ya kuwa na mwili mdogo anawapiga chenga mijitu yenye miili mikubwa kama vile watoto wadogo ...mj alicho mzidi Curry ni ku-dunk tu nothing else ..na hiyo ina sababishwa na urefu wa kimo chake
 
Aseee umesema sahihi

Phill Jackson amemuongelea MJ na Kobe sababu anawajua

Kwenye hii michezo uzuri wake Takwimu ndio zinaongea,Steph hajafika hiyo level hajitahid amfikie Kobe kwanza ndio umpeleke kwa MJ na Magic
 
Steph is just an expert in 3 pts...

Hakuna kitu kingine anaweza sana kuzidi wengine zaidi ya hiyo...

That being said, huwezi fananisha Steph na MJ, unless you didn't watch MJ playin in his prime time...MJ was just MJ....
Uko sawa kabisa mkuu, hiyo comment ya jamaa imenishangaza sana.
 
Labda umaarufu wake utakuwa Bay area tu huko na si kwingineko, au pale Oracle tu baaasi...
Kwao huko lazima atakuwa star labda huku ndio hatumjui. Ni kama vile Wema Sepenga huku kwetu star ila hapo Malawi tu watu hawamjui
 
Nimemuona Mj " curry yuko mbali zaidi kiuwezo kuliko Mj " mara nyingi katika maisha watu wa zamani ndio huwa tulivyo huwaga tunapenda Sana kuamini kwamba " vilivyopo katika wakati wetu ndio vilikuwa bora kuliko wakati uliopo au ujao ...kitu ambacho sio kweli ....

Curry ana sifa zote ana kasi ya ajabu.anapiga chenga ambazo hauwezi kuziona kwa mtu yeyote.. anafunga magoli katika nyakati zote tena haswaa katika nyakati ngumu ..sehemu ambayo mchezaji mwingine hawezi kushinda curry anashinda ' ijapo kuwa ana kimo cha wastani lakini anafanya vitu vikubwa ambavyo vimewazidi mijitu ya miraba minne .... bado nasimamia maneno yangu hakuna kama curry
Kwamba Curry anapiga crossovers hahaha na Uncle Drew unamuweka kundi gan....M n mshabiki wa Golden states lakin Curry n expert wa 3 points tu,but MJ was a complete package unapata vyote
 
Curry mzuri wa 3 pointer,lkn ktk miaka hii mitano nimeangalia NBA,hamna mchezaji anayemkaribia LBJ ktk kizazi cha sasa,yule mwanaume machine.
 
Honestly kwa zile skills za curry nazo ziona " na zile za mj ambazo nimeziona nachelea kusema curry ni bora kuliko mj .Mj yuko overrated tu dhidi ya curry ...jamaa ana cheza mpira huku team nzima ikiwa imeweka matumaini kwake ..anafunga magoli ya aina yote ..sehemu anayo funga au kutoa pasi hauwezi kutarajia ...licha ya kuwa na mwili mdogo anawapiga chenga mijitu yenye miili mikubwa kama vile watoto wadogo ...mj alicho mzidi Curry ni ku-dunk tu nothing else ..na hiyo ina sababishwa na urefu wa kimo chake
Mahaba bana....hapa husikii wala huoni
 
31 years anachipukia?? Maaaan naona ndo wajifunza about NBA
Mwambie awe mkweli tu narudia tena awe mkweli tu
Huyo kaanza kufuatilia kikapu juzi na kakuta gsw ya moto na hapohapo kawa shabiki wao....we soma tu coment zake anakuambia kakesha youtube kumuangalia MJ hahahaha hakuna alijualo hapo zaidi ya mahaba kwa gsw na curry.....simtofautishi kabisa na hawa mashabiki wa leo wa manchester city.....kikapu cha zamani hakijui na naamini hata kobe wa juzi tu hajawahi mfuatilia akicheza....mwambie tu mechi ya mwisho ya kustaafu kobe matusi aliyofanya kwenye pitch curry hatoweza milele
 
Mechi ilikuwa ya Utah Jazz ,Kobe peke yake aliscore 60points,curry bado sana,bila KD GSW zile rings mbili wasingechukua,zote zilikuwa zinaenda CAVS.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom