Sasa ataitwa Dr Mrema duh kweli siasa ina fursa nyingi kiuchumi , kijamii na sasa kielimu . Bado kidogo na makamba atatunukiwa atatunukiwa
Huyu ametunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima kutokana na umahiri wake wa kutumwa au kujituma kukamilisha Kazi yake ipaswavyo kutoka chama kimoja cha siasa hadi kingine.
Hakika, huu ni mwendelezo wa ile mada iliyoletwa hapa ya kumvulia kofia huyu Mzee .