Augustine Mrema Atunukiwa PhD

Sinkala

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
1,773
683
Naona mzee wa Kiraracha ametunukiwa PhD ya heshima, kwa kile kilichoelezwa kutambua mchango wake katika jamii! Ngoja niongeze uzalishaji wa mahindi shambani mwangu niokoe watanzania wasife njaa, huenda nami nitatambuliwa!
 
Sasa ataitwa Dr Mrema duh kweli siasa ina fursa nyingi kiuchumi , kijamii na sasa kielimu . Bado kidogo na makamba atatunukiwa atatunukiwa
 
Sasa ataitwa Dr Mrema duh kweli siasa ina fursa nyingi kiuchumi , kijamii na sasa kielimu . Bado kidogo na makamba atatunukiwa atatunukiwa

Sawa kabisa anastahili, kama mkuu amepewa naye sioni ajabu
 
Bongo kwa Phd za kugawa inaongoza, kila mwanasiasa anpewa Phd, kumbe ndio wakina january Makamba wanakimbilia siasa kwa ajili ya Phd za kujiokotea kama wana fisadi Kikwete. Karibu nchi nzima itakuwa na wanasiasa wenye phd zisizoleta maendeleo yoyote zaidi ya umaskini. Phd za kupiga domo
 
Mh mrema naye ametunukiwa shahada ya udaktari ya heshima! Naona mwaka huu utabaki wewe tu! Source ITV
 
kweli lyatonga anastahili aliweza kupunguza ajali za barabarani kwa kubadilisha utaratibu wa magari ya abiria kasafiri usiku , alianzisha sungusungu na vituo vya polisi
 
Huyu ametunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima kutokana na umahiri wake wa kutumwa au kujituma kukamilisha Kazi yake ipaswavyo kutoka chama kimoja cha siasa hadi kingine.

Hakika, huu ni mwendelezo wa ile mada iliyoletwa hapa ya kumvulia kofia huyu Mzee .
 
mrema amepewa phd na chuo fulani cha SA. kuanzia leo TBC wakamwita dr mrema. sijui kwanini waandishi wetu hawajui phd ya heshima haitumiki kama title ya mtu
 
Wameua elimu sasa wameamua kugawana Phd nje ya Shule, ufisadi Mpaka kwenye kutoa Phd. Duuh hii nchi sijui inaelekea wapi kila Mwanasiasa anatunukiwa Phd za kufanya Ufisadi.
 
Huyu ametunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima kutokana na umahiri wake wa kutumwa au kujituma kukamilisha Kazi yake ipaswavyo kutoka chama kimoja cha siasa hadi kingine.

Hakika, huu ni mwendelezo wa ile mada iliyoletwa hapa ya kumvulia kofia huyu Mzee .

Dr Kibunago!

Jamaa hawafai hawa wanatunuku tu
 
duh! hii ndio bongo! kwani jamani naomba kuuliza,wanalipwa hawa watu wakipewa hivyo vi phd na dk vyao vya kupeana?maana ipo siku utasikia mzee yupo UDSM anafundisha waungwana chuoni ...dah!:wink2:
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom