Athletics World Championships. Berlin

Zakia Mrisho amemaliza mbio za mita 5,000 kwa kutumia muda wa 15:25:09(SB) na kushika nafasi ya tisa. Na kufanikiwa kuingia fainali kupitiwa kundi la mabest losers.
 
Siku ya 5 na fainali zake
  • Kurusha kisahani- wanaume
  • Mita 1,500 - wanaume
  • Mita 800 - wanawake
 
Final results 1500m
  1. Yusuf S. Kamel - BRN
  2. D. Mekonnen - ETH
  3. B. Lagat - USA
 
Still to come....
l3968875.jpg

800M final...
 
Wakenya washinda mita 3,000


PIX8.jpg


Ezekiel Kemboi (2ndR) of Kenya approaches the finish line to win the men's 3,000 metres steeplechase final, followed by Bouabdellah Tahri of France and Kenya's Paul Kipsiele Koech and Richard Kipkemboi Mateelong (L-R) during the world athletics championships at the Olympic stadium in Berlin, August 18, 2009.
 
Matokeo rasmi ya mita 800 wanawake
  1. Caster Semenya - RSA
  2. Janeth Busienei - KEN
  3. Jennifer Meadows - GBR
 
Siku ya 6....

f64f691540286e433852cc990f2d9076.jpg
South African teenager Caster Semenya, whose rapid improvement has prompted officials to order a gender verification test, won the women's world 800 metres title with a crushing performance at the World Championship in Berlin.

Powerfully-built but beautifully relaxed in motion, the 18-year-old clocked 1 minute, 55.45 seconds for the year's fastest time and a personal best by more than a second.

Fast-closing Jenny Meadows of Britain snatched third, three-hundredths of a second behind Kenyan world champion and Olympic silver medallist Janeth Jepkosgei in a personal best time of 1:57.93.

However, both Meadows and Jepkosgei finished more than 15 metres adrift from the dominant Semenya.

International Association of Athletics Federations general secretary Pierre Weiss said an investigation into Semenya's gender was underway in both South Africa and Berlin.

More at Eurosports


Fainali za Leo.....Day 6
  • Kuruka juu (High jump)
  • Mita 400 kuruka viunzi
  • Mita 200
  • Mita 110 kuruka viunzi
 
Walivyojishangilia...
newsmlmmd.98bb226c224ca1bce8276d01b0dc1dfd.f12b.jpg


366963590-semenya-south-africa-gestures-won-women-800-metres.jpg

Msouth

3527175591-robert-harting-germany-celebrates-winning-men-discus-throw-final.jpg

Mshindi wa kurusha kisahani, Robert Harting.

350055601-athletics-iaaf-world-athletics-championships-day-five-berlin-2009-olympiastadion.jpg

Bingwa wa mbio za mita 1,500 Yusuf Saad Kamel wa Bahrain.

newsmlmmd.ebabd92022f78dae62d74f0340655be6.8012b.jpg

Brigitte Foster-Hylton(kulia) wa Jamaica akishangilia huku akipongezwa baada ya kushinda mbio za mita 100 kuruka viunzi.

f7b68347574a5528105f4e759ff1088f.jpg

Bolt, baada ya kujiwekea nafasi yake katika fainali ya mita 200.

Mambo yanapokuwa si Mambo
3771723779.jpg

Omar Ahmed mrusha kisahani

3202356357.jpg

Rakia Al- Gassra, baada ya kumaliza mbio za mita 200

1395269680.jpg

Bolt kabla ya kuanza kukimbia nusu fainali ya mita 200

3644871831.jpg

Perdita Felicien wa Kanada mara baada ya kumaliza mbio za 100 kuruka viunzi
 
Mita 5000 wanaume,
  • Marco Joseph wa Tz anatafuta nafasi ya kukimbia kwenye fainali sas hivi...
 
Mita 5,000 matokeo:
  • 17. Marco Joseph. 13:53.67
  • DNS. Fabiano Naasi

Wote wameshindwa kuingia fainali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom