mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,044
Hivi tangu lini wito wa kutubu umekuwa matusi! Tukifikia hapo, makanisa na misikiti yote ifungwe! Maana wito mama wa watumishi wa Mungu ni kuhimiza toba!!!Askofu kanisani kwake madhabahu siyo sehemu ya kutukania viongozi wa nchi.Kakobe kachoka kuhubili amani sasa anafanya fujo madhabahuni baada ya kukusanya sadaka na kushiba hella.Asome neno katika kitabu cha Matthayo Sura ya 5.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app