Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

Sizonje aache kujificha nyuma ya UVCCM na PoliCCM anatakiwa akatubu muda bado unaruhusu kufanya hivyo.Tena afanye haraka kabla ghadhabu ya Mungu haijashuka.Wizara ya Nishati na madini& Tanesco pamejawa na mabalaa sababu ya kumpiga vita Askofu Kakobe!
 
Mawazo ya kijinga na kilofa yanayotolewa na mpumbavu
 
Huu ni uthibitisho kuwa wasaidizi wa MKUU wameshindwa kutimiza wajibu wao wa kumshauri MKUU kwa kukosa ujasiri wa kumwambia ukweli!!! Inafahamika kuwa gharama ya kuusema ukweli kwa wakuu huwa ni kubwa sana!!! Lakini MKUU inabidi ahesabu kuwa ni Baraka kubwa sana kwake kupata MTU jasiri kwenye taifa letu anayethubutu kuusema ukweli!!! Wanaompamba kwa kila kitu hawamwongezei tija!!!
 
Back
Top Bottom