Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

Waafrika bana...mnakalia kutishana tu....hamtaki kusikia yale msiyoyapenda....mnapenda kuishi ndani ya comfort zone zenu....kukosolewa ni jambo la kawaida, Trump mwenyewe anakosolewa....kila mtu anamapangufu....msitake kutuaminisha kwamba Rais ni mtakatifu..au hana hulka za kibinadamu..sababu tu ni rais...
Viongoz wa dini wanahaki ya kusema ukweli kwa mitazamo yao....
Aangalie na mazingira,asijifanye mfia dini..ujuaj utampeleka pabaya
 
Waafrika bana...mnakalia kutishana tu....hamtaki kusikia yale msiyoyapenda....mnapenda kuishi ndani ya comfort zone zenu....kukosolewa ni jambo la kawaida, Trump mwenyewe anakosolewa....kila mtu anamapangufu....msitake kutuaminisha kwamba Rais ni mtakatifu..au hana hulka za kibinadamu..sababu tu ni rais...
Viongoz wa dini wanahaki ya kusema ukweli kwa mitazamo yao....
Unawaangolea US ambao wamekupita karne 4,..wanapractice democracy leo,go back in time uone ulaya na america au asia waliishi maisha gan..au nenda russia uone kama unaeza ongea ongea tuu,au china,..tatzo mibongo hakil hakuna,hao wazungu wanahubir leo democracy lakin wenyew enz wanazijenga nchi zao walikua wanafunga mikanda na kuish kwa amri na matamko,leo mbongo maskin ndo unaanza kuyaish maisha dunian unasifu watu kuongea ongea et uhuru wa kuongea..uhuru au mnaongea ujinga,ulitaka rais afanyaje kwa mfano,africa migogoro haish sabab ya kuendekeza democracy uchwara,mnamsifia kim jon,nenda kule kaone,wale ndo wanajikwamua,hapa mmebak kupiga domo,kaz hamfany
 
Utajuta kuyatamka hayo maneno yako siku chache zinazokuja, mwulize Gwajima, Askofu Severine Niwemgizi watakujibu ,hautakuwa salama kamwe
 
Kushupaa kwa CCM na kutokwa mapovu juu ya hotuba ya Kakobe kanisani kwake ni ishara chama kufa kibudu.

Biblia imejaa siasa mwanzo mwisho na Yesu anasimama kama Mwanaharakati na Rais,(mfalme). Alichokisema Kakobe kama ni kweli fanyieni kazi na kama si kweli puuzeni. Mnahangaika nini kama yamewagusa basi Mkatubu kweli dhambi zenu.

CCM walifikiri kupokea mapapeti wa upinzani ndio wataimarika, siasa ni Uvumilivu hata ukitusiwa, mnafikiri kutumia Polisi ndio kuzima midomo ya wadau . HAPA KAZI TU.

Deogratius Nalimi Kisandu
28 Desemba 2017.
download.jpg
 
Kushupaa kwa CCM na kutokwa mapovu juu ya hotuba ya Kakobe kanisani kwake ni ish ashara chama kufa kibudu.

Biblia imejaa siasa mwanzo mwisho na Yesu anasimama kama Mwanaharakati na Rais,(mfalme). Alichokisema Kakobe kama ni kweli fanyieni kazi na kama si kweli puuzeni. Mnahangaika nini kama yamewagusa basi Mkatubu kweli dhambi zenu.

CCM walifikiri kupokea mapapeti wa upinzani ndio wataimarika, siasa ni Uvumilivu hata ukitusiwa, mnafikiti kutumia Polisi ndio kuzima midomo ya wadau . HAPA KAZI TU.

Deogratius Nalimi Kisandu
28 Desemba 2018.View attachment 661491
0fe7a16e75873ca5cfbfdfa0558a850f.jpg
waswahili wanasema mbwa ukimjua jina hawezi kukusumbua
 
Kushupaa kwa CCM na kutokwa mapovu juu ya hotuba ya Kakobe kanisani kwake ni ishara chama kufa kibudu.

Biblia imejaa siasa mwanzo mwisho na Yesu anasimama kama Mwanaharakati na Rais,(mfalme). Alichokisema Kakobe kama ni kweli fanyieni kazi na kama si kweli puuzeni. Mnahangaika nini kama yamewagusa basi Mkatubu kweli dhambi zenu.

CCM walifikiri kupokea mapapeti wa upinzani ndio wataimarika, siasa ni Uvumilivu hata ukitusiwa, mnafikiri kutumia Polisi ndio kuzima midomo ya wadau . HAPA KAZI TU.

Deogratius Nalimi Kisandu
28 Desemba 2018.View attachment 661491
Naona sasa mkuu umeamua kuishi katika kweli. Uliandika juzi kati kuwa unataka kuacha kuishi kinafki. Haya bhana ila hili nalo neno.
 
Kushupaa kwa CCM na kutokwa mapovu juu ya hotuba ya Kakobe kanisani kwake ni ishara chama kufa kibudu.

Biblia imejaa siasa mwanzo mwisho na Yesu anasimama kama Mwanaharakati na Rais,(mfalme). Alichokisema Kakobe kama ni kweli fanyieni kazi na kama si kweli puuzeni. Mnahangaika nini kama yamewagusa basi Mkatubu kweli dhambi zenu.

CCM walifikiri kupokea mapapeti wa upinzani ndio wataimarika, siasa ni Uvumilivu hata ukitusiwa, mnafikiri kutumia Polisi ndio kuzima midomo ya wadau . HAPA KAZI TU.

Deogratius Nalimi Kisandu
28 Desemba 2018.View attachment 661491
KICHAA CHAKO KIMEPANDA?
 
Well said Deogratius kisandu wamekaa kihadaa hadaa tu full maigizo kila wanakoenda ni kuonekana wanatumia nguvu kubwa sana kujilazimisha kujitangaza ila hali ni mbaya
 
Back
Top Bottom