hata Kandahar kuna chuo kikuu
Kwa taarifa yako Ng'wanangwa mie niko makini kuliko unavyofikiri nakupa picha nina GPA ya nguvu kwenye first degree (honours), Nina distinction katika degree zilizobakia. Nimesoma vyuo hivyo mnavyoviita makini msitake kutudharau waislamu bure tunawaburuza darasani halafu mnaleta kelele zenu za nini!!!