Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 397
- 993
"Nimesikia Bunge limeridhia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) sasa iitwe Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NFEC). Yaani kuongeza neno HURU kumeleta uhuru wa Tume. Kazi Iendelee. Lakini?" Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe
Kwenu wakuu.
Jambo TV
Kwenu wakuu.
Jambo TV