Askofu Thomas Laizer: "Uchaguzi wa Meya Arusha Urudiwe"

Nimeipenda sana command yake,nategemea wamtii,any thing different wanatafuta vita!

Wavianzishe vita waone kama hao maaskofu hawajakimbia nchi kwa kutumia mgongo wa kanisa. Waislamu wanawasubiri muvianzishe tuwaweke sawa maaskofu upuuzi kabisa
 
My motive and suspicion is Arusha wana kaukabila fulani huwa wanapenda sana Meya aitwe Laizer. It is very hidden motive. Anyone can lead us provided will lead us in righteousness na kujitolea kwa wananchi bila kuweka maslahi binafsi. Kuweka akilini haya yatatuwekea negative atitude na kutuvunja moyo pamoja na kutupofusha hata tusione na kushauri kuhushu michakato ya maendeleo. Sikuwa huko wanajamvi wanakohisi. Sometimes watu hu-abuse publicity waliyo nayo. hat kama ni miradi ya afya ni nini vile bado si ya kanisa kama askofu bali ya waumini kwani huchangishwa kufanya maendeleo wao kwa wao. Tusijisahau. Hawa viongozi ni watumishi wetu na sisi raia ndio maboss. Huwaita kwenye interview na kuwahoji kisha kuwachagua au kuwaandika kazi. Kam kila uongozi na mamlaka yanatopka juu. Hata uongozi mbaya hutoka juu ili kwa ajili ya ubaya. We can not have angels to lead Tanzania as we are not angels. Kwanza sote tuutafute uso wa Mwenyezi Mungu na mengine yatakuja kwa ziada.
Naomba kuwakilisha.

Ficha Upumbavu wako, kuwa mwelewa siku moja moja!
Huyo Lyimo unayemsema ni Mchagga, na aliyetakiwa na watu wa Arusha anaitwa Mallah naye ni Mchagga. Sasa hapo Ukabila uko wapi?
Kama suala ni hilo Mbona Mbunge wetu ni Mchagga?
Tunachohitaji sisi ni Maendeleo sio Ukabila.
Kama suala lingekuwa ukabila basi Batilda angechaguliwa.
Narudia tena! FICHA UPUMBAVU!
 
Jamani, Maaskofu na mashehe ni walezi wetu wa kiroho. Sasa wasiposema waamini wao wakawawa watakuwa waadhini na kuhubiria nani tena? shtuka, zinduka fungua macho ona mbali zaidi ya hapo.
 
Msiwahusishe Masheikh hawawezi kutamka matamko ya kipuuzi kama haya. Masheikh wako makini wanatizama nini kinatoka katika midomo yao. Zindukeni nyie na unafiki wa maaskofu wenu.
 
Siasa yetu sijui inachukua uso gani kwa sasa. Hadi makanisa ni CHADEMA?

Please make note that Askofu Laizer has a constitutinal right to give his views, as an individual and also as a representative of the people he leads....kwa hiyo sijjui anakuwaje "makanisa" maana hata maana ya kanisa hufahamu kwa kweli; kwani ungefahamu, ungelitoa a different and more constructive comments---but the way the comment stands now, it is erroneous, misinformed and a surface based comment...
 
Wavianzishe vita waone kama hao maaskofu hawajakimbia nchi kwa kutumia mgongo wa kanisa. Waislamu wanawasubiri muvianzishe tuwaweke sawa maaskofu upuuzi kabisa

Wee kweli umeishiwa!!! hivi marehemu mpiganaji Omari ni dini gani?
 
Jamani, mbona mwaka ule kanisa lilipotuambia JK ni chaguo la Mungu hamkulalamika kuwa kanisa linaingilia siasa? Sasa hivi JK kalikoroga mwenyewe, maaskofu wakisema nongwa, eti kanisa linaingilia siasa! Kanisa ni sehemu ya jamii, huwezi kulitenga na jamii inayolalamikia utawala mbovu. Acheni maaskofu na mashehe waseme, wawatetee wananchi. Wito wangu kwao: Wasimame kwenye HAKI.
 
Wee kweli umeishiwa!!! hivi marehemu mpiganaji Omari ni dini gani?

Naishiwa nguvu nashindwa kuwaelewa pale Askofu anapoiamrisha serikali eti uchaguzi urudiwe. Unaweza kunijibu yeye kama nani Askofu huyo anaituma serikali ifate maagizo yake? Mbona MMwanakijiji aliposema kuna irregularities katika daftari la kupiga kura serikali haijamsikia sasa mnataka Askofu wenu asikilizwe? Hapo ndio naposema mimi kuwa maaskofu wamelewa na utamu wa favoritism ya serikali sasa JK alipowakatia mirija wanatafuta another puppet (which happened to be Chadema) wawaingize madarakani . Endeleeni na ujinga wenu.
 
Hili suala la udini in my opinion, limekuwa ni perception tu, especially pale watu wa dini wanapowaambia viongozi ukweli!
..............chaguo la Mungu, wanasherekea! sasa huyo chaguo la Mungu alipoenenda tofauti na busara za Mungu, Mungu akajitoa baada ya kuinajisi misingi aliyoiweka, eti udini!
 
Msiwahusishe Masheikh hawawezi kutamka matamko ya kipuuzi kama haya. Masheikh wako makini wanatizama nini kinatoka katika midomo yao. Zindukeni nyie na unafiki wa maaskofu wenu.

Kama wale waliokataliwa na BAKWATA makao makuu.
 
Siasa yetu sijui inachukua uso gani kwa sasa. Hadi makanisa ni CHADEMA?

Hivi hata kama umoja wa kitaifa unavunjika, watu wote wakae kimya? Hata viongozi wa dini? Nani ataikosoa na kuikemea serikali ikishikwa na wendawazimu?
 
Naishiwa nguvu nashindwa kuwaelewa pale Askofu anapoiamrisha serikali eti uchaguzi urudiwe. Unaweza kunijibu yeye kama nani Askofu huyo anaituma serikali ifate maagizo yake? Mbona MMwanakijiji aliposema kuna irregularities katika daftari la kupiga kura serikali haijamsikia sasa mnataka Askofu wenu asikilizwe? Hapo ndio naposema mimi kuwa maaskofu wamelewa na utamu wa favoritism ya serikali sasa JK alipowakatia mirija wanatafuta another puppet (which happened to be Chadema) wawaingize madarakani . Endeleeni na ujinga wenu.

Kweli haya?
Favoritism ipi waliyokuwa wanaipata maaskofu toka kwa JK na kwa nini?
Ni mirija ipi aliyokata Jk na kwanini aikate kama mwanzo ilimbeba?
Unaweza kumtaja walau Askofu mmoja aliyewahi kuwa madarakani hapa Tanzania?
 
Cha kushangaza Askofu Kilaini aliposema Kikwete chaguo la Mungu hakuna aliyelalamika na kisema ni mdini, leo wanapokemewa wanasema maaskofu wavue majoho. Shame you CCM
 
Msiwahusishe Masheikh hawawezi kutamka matamko ya kipuuzi kama haya. Masheikh wako makini wanatizama nini kinatoka katika midomo yao. Zindukeni nyie na unafiki wa maaskofu wenu.

Just be objective please. Generalizations are dangerous.
 
Naishiwa nguvu nashindwa kuwaelewa pale Askofu anapoiamrisha serikali eti uchaguzi urudiwe. Unaweza kunijibu yeye kama nani Askofu huyo anaituma serikali ifate maagizo yake? Mbona MMwanakijiji aliposema kuna irregularities katika daftari la kupiga kura serikali haijamsikia sasa mnataka Askofu wenu asikilizwe? Hapo ndio naposema mimi kuwa maaskofu wamelewa na utamu wa favoritism ya serikali sasa JK alipowakatia mirija wanatafuta another puppet (which happened to be Chadema) wawaingize madarakani . Endeleeni na ujinga wenu.

Hivi Mdondoaji unadhani maaskofu wakihamua kuubiria waumini wao wachague chama wakipendacho wao (maaskofu) CCM itapata kushinda? Sijuhi kama umeshafanya utafiti kujua ni majimbo mangapi yapo kwenye sehemu zenye wakristu wengi na ni majimbo mangapi yapo kwenye sehemu za waislamu. Wapiga kura wa Zanzibar nzima ni jimbo moja la Bukoba vijijini ambapo hakuna msikiti hata mmoja uliojengwa kwa tofali. Fanya utafiti Kagera, Mwanza, Arusha, Mara, Manyara, Iringa, Mbeya, Songea, Dodoma, Kilimanjaro, Kigoma na hata hiyo Dar es Salaam ujue ni majimbo mangapi yapo kwenye sehemu hizo na kama udini unapigwa itakuwaje? Acha kujidanganya
 
Kweli haya?
Favoritism ipi waliyokuwa wanaipata maaskofu toka kwa JK na kwa nini?
Ni mirija ipi aliyokata Jk na kwanini aikate kama mwanzo ilimbeba?
Unaweza kumtaja walau Askofu mmoja aliyewahi kuwa madarakani hapa Tanzania?

Wewe huifahamu kwani MOU ya Kanisa na Lowassa itafute humu JF utaipata usisubiri sana kutafuniwa. Na umesahau mwaka jana JK alifuta misamaha yote ya taasisi za kidini.
 
Hivi Mdondoaji unadhani maaskofu wakihamua kuubiria waumini wao wachague chama wakipendacho wao (maaskofu) CCM itapata kushinda? Sijuhi kama umeshafanya utafiti kujua ni majimbo mangapi yapo kwenye sehemu zenye wakristu wengi na ni majimbo mangapi yapo kwenye sehemu za waislamu. Wapiga kura wa Zanzibar nzima ni jimbo moja la Bukoba vijijini ambapo hakuna msikiti hata mmoja uliojengwa kwa tofali. Fanya utafiti Kagera, Mwanza, Arusha, Mara, Manyara, Iringa, Mbeya, Songea, Dodoma, Kilimanjaro, Kigoma na hata hiyo Dar es Salaam ujue ni majimbo mangapi yapo kwenye sehemu hizo na kama udini unapigwa itakuwaje? Acha kujidanganya

Hizi ndio mentality zenu kudhani wakristo mpo wengi tanzania endeleeni kuota tu. Jiulizeni kwanini Nyerere alikataa sensa ya dini Tanzania alifahamu fika waislamu ni wengi na hilo lingelikuja kumpa tabu kuitawala Tanzania. Sasa kwani mwaka huu si mlimsusia kutompigia kura JK mbona amepata asilimia 60% jiulizeni zimetoka wapi? Kaa ukitafakari ndugu sijidanganyi bali nakuzindueni baadhi yenu mliolala.
 
Mkuu nitakuachia hapo nisingependa kubishana na wewe kuondoa maana ya topic yenyewe. Mi naongelea sehemu ninazozijua vizuri na ndo maana nimekupa tu baadhi ya sehemu. Kama unaamini kuwa Kagera, Mbeya, Kilimanjaro na kwingine nilikokutaja kuna Waislamu wengi kuliko wakristu naomba urudi madrasa ukadanganywe tena.
 
Back
Top Bottom