Wewe huifahamu kwani MOU ya Kanisa na Lowassa itafute humu JF utaipata usisubiri sana kutafuniwa. Na umesahau mwaka jana JK alifuta misamaha yote ya taasisi za kidini.
Mkuu kama angekuwa na ujasiri wa kuwakatia mafisadi ulaji hapo tungekuwa pamoja. Tena angewaanza wao. Hivi wewe unakubaliana na malipo yanayozungumziwa ya DOWANS, je ununuzi wa rada? Ndege ya Raisi? Kagoda na EPA kwa ujumla? Hayo si ndiyo mambo ya kufanya Raisi?? Usitafunwe na Udini anza na uzalendo wa nchi yako kwanza.