Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

mwizi huyo babu nae anataka fedha toka kwa EL ili ajenge hekalu ka wachungaji wenzake wezi
 
huyu naye ataungana na yule askofu kama sijasahu alikuwa wa MAREKANI aliyetabiri eti dunia itafika mwisho, nadhani ilikuwa mwaka jana.(tarehe sikumbuki). mwisho atabaki kimyaa kama siye yeye. wenzake waliwahi kusema hapa kikwete chaguo la Mungu, leo wanabadili maneno na kuleta nahau nyiiingi. mambo ya ghaibu muachieni mwenyewe MUNGU.
............... Kazi sana kwa Mgalatia kuelewa 'ghaibu' !!................. 'ghaibu' ni ya ALLAH S.W !!
 
He deserves that POST; Sijui cha kumzuia maana asipogombea kwa CCM atagombea kwa CHADEMA!!!! Money can buy everything even the whole Parties
 
askofu ana njaa,
anataka msaada wa kujengewa
kanisa. askofu na siasa wapi na wapi.
 
Nchi hii kila mtu ni mtabiri. Huyo askofu kama anampenda Lowasa ampe kura yake siyo kutuletea mambo ya utabiri hapa. Watu wanatabiri mvua itanyesha kesho na hainyeshi sembuse ya Urais!! Ukimchunguza vizuri huyu askofu atakuwa lazima anafanya biashara haramu.
 
kwani hatuna mwingine jamani LOWASA tunamuomba apumzike tu jinsi alivyo chafuka hawezi kusafishika maana hata JMK ameshindwa kumsafisha sina hakika na hiyo sabuni anayoitumia huyo nabii kama itaweza kumsafisha huyo LOWASA JAMANI.............>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>??????????????
 
Na akiendelea kutuletea uchafu tutamwambia Mungu amwue kama alivyomwua Shekh Yahya maana baada ya kumtabiria dr Slaa kifo na watu tulifunga na kuomba akafa, sasa huyu na afunge mdomo kama EL ni chaguo la Mungu basi Mungu atatuonyesha, pia amwache Lowasa ataongea mwenyewe.
 
hizo ni njaa zake tu,hata kakobe alisema mrema asipoingia ikulu atajimaliza mbona yupo hadi leo.apeleke siasa za maji taka huko
 
Sio manabii wa siku za mwisho hawa. Tusubiri tuone. Mawe si yapo au yatakuwa yametoweka ifikapo 2015?Ameshajichagulia adhabu....
 
Afya ya EL pekee ni mgogoro. Wenzie wanaendaga India wanatangazwa kwa vile wanatumia kasma ya serikali. Yeye anatumia mafungu yake aliyolimbikiza ndiyo maana akienda Ujerumani munakuwa hamjui.
 
hao maaskofu kutoa utabiri kama huo, we michango ya EL katika makanisa sio ya mchezo

Mi ntatembea uchi Lowasa akiwa rais

mwizi huyo babu nae anataka fedha toka kwa EL ili ajenge hekalu ka wachungaji wenzake wezi

Sio manabii wa siku za mwisho hawa. Tusubiri tuone. Mawe si yapo au yatakuwa yametoweka ifikapo 2015?Ameshajichagulia adhabu....

mpaka 2015 tutasikia mengi

Au labda keshapewa fungu lake kwaajili promotion?
 
Tumeambiwa ila roho tuzipime. Mtu hawezi tu kuibuka nakuwa nabii, yako maandalizi ambayo mtu anayapitia.Niambie nabii Mabumba alisha toa unabii gani na ukatokea?Hizo ndizo staili zao siku hizi, alikuwapo mganga wa kienyeji aliyeitwa Yahaya ambaye naye aljitabiria hivyo kweli walimzka mwaka jana na huyu inawezekana ikawa hivyo. Tukumbuke wanadamu tumeumba kwa mfano na sura ya Mungu, kwa hiyo lolote tunalolisema litakuwa hivyo. Hata kama Nabii Joshua kamwambia Joshua ni wale wale ambao ninaogopa kusema kuwa watu wale husema ya kwao na wala si ya Mungu.
Haya majina ni ya kujipatia riziki Mtume Maumba ana makanisa mangapi hapa nchini? Siajabu ni hilo anaoliongoza. Mtume ni kitu kikubwa kwamba utakuwa metuma watu kila mahali na wakafungua kazi ya Mungu, hapo ndipo neno mtume linapokuwa na maana lakini unaitwa mtume huna hata mtu uliyemtuma yawezekana kabisa kuna kitu anachoafuta kwa huyo Lowassa.
Vile vie Nabii ni yeye aliyetumwa, na huyanena ya yule aliyemtuma.Je Kanisa la nabii Mabumba wanakweda sawasawa na Neno la Mungu?Kwamba mwanamke asivae suruali? Au mapambo kama wigi hayapo hapo kanisani kwake?Kama katika Kanisa lake kuna wanawake wanavaa msuruali nawaambia huyo hayaneni ya yule alimtuma yuko kwa ajili ya faida yake tu.
 
Back
Top Bottom