johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,048
- 142,160
Nafuatilia Hapa BBC maelezo ya Waumini wa Kanisa la TB Joshua wakielezea manyanyaso na utapeli waliofanyiwa na mtume huyo wa Nigeria
Nakumbuka 2015 si wafuasi wa mzee Lowasa kuanzia CCM hadi Chadema tuliamini sasa Unabii wa TB Joshua kwamba Lowasa Ndiye mrithi wa JK
Lakini ni pigo pia kwa Wanasiasa wengi waliobahatika kwenda Nigeria kuwekewa Mikono na TB Joshua na kuambiwa watakuwa viongozi wakuu siku za usoni
Lakini bado hakuna uthibitisho kwamba Joshua ni nabii wa uwongo kwa Sababu Ndiye aliyemwekea Shujaa Magufuli Mikono ya Baraka na akawa Rais kadhalika Dr Mwigullu PhD ambaye kwa sasa ni Waziri mkubwa sana
Mungu ni mwema wakati wote