jama jama hii haiwezekani! hivi police wataacha lini kuuwa, hivi kweli mtu anaweza kujimiminia risasi nne kwa wakati mmoja? na huko mahabusu aliingia na silaha? huwa taarifa za hawajamaa ukizisoma unaweza kuchanganyikiwa,sawa mnyonge hana haki ila ipo siku bubu atasema,poleni sana wafiwa mungu yu pamoja nanyi