Askari ajitoa uhai kwa kuupoteza msafara wa Kikwete Tarime!!!

Kumbe ulimuelewa?

nilimuelewa vizuri sana........na ndio maana nilimsahihisha.
back to the point,je unafikiri mtu anaweza kujiua kwa kujipiga risasi 4 kifuani kwa kutumia AK47[AKIWA RUMANDE/CHINI YA ULINZI]??
 
nilimuelewa vizuri sana........na ndio maana nilimsahihisha.
back to the point,je unafikiri mtu anaweza kujiua kwa kujipiga risasi 4 kifuani kwa kutumia AK47[AKIWA RUMANDE/CHINI YA ULINZI]??
Kumbe ulinielewa ukawa unanitirai siyoo....

Unaweza kujimiminia mirisasi sana tu, na haswa ukiwa na mihasira kibao.
 
Askari wa kike (WP Suzana) wa kituo cha Polisi Tarime mkoania mara amejiua kwa kujipiga risasi 4 katika upande wa kushoto wa kifua chake.

Habari zinasema askari huyo alikuwa katika zamu ya kuongoza msafara wa Rais Kikwete aliyekuwa ziarani huko Tarime kwa shughuli za ufunguzi wa bwawa la maji la manchira.

WP Suzana alipoteza muelekeo wa msafara wa Raisi Kikwete uliotakiwa kuelekezwa kwenda kwenye kanisa la hapo Tarime.

Tukio hilo lilisababisha viongozi wake kumuweka mahabusu akisubiri hatua nyingine za kinidhamu lakini jana askari huyo alijilipua kwa risasi na kupoteza uhai wake...


Source: Mwananchi newspaper

My take:

Inawezekanaje awekwe mahabusu na kuweza kupata silaha hadi kujitoa uhai? Kweli Suzana hilo tu limekufanya utoe roho yako kisa kukosea kuelekeza msafara? Kwa kweli roho imeniuma sana ingawa simfahamu huyo askari....RIP Suzzy!

................




.....


......

Naanza kuhisi Jasusi lilompiga risasi huyu dada, limehusika pia kumfanyia unyama Dr Ulimboka!!!

Hivi uchunguzi wa kisa hiki uliishia wapi???


.......
 
Back
Top Bottom