Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 5,509
- 4,821
Kiongozi gani hana chawa?!!Ma chawa ni wengi
Kiongozi gani hana chawa?!!Ma chawa ni wengi
Promoters wa 2025Huwezi amini asililia 70 ya watu walio ambatana na Raisi ni wasanii wa Bongo Movies na comedian kama Steve Nyerere.
Yaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana ni wasanii wamejaza ndege. Hawa sujajua wameenda kukutana na wakima Mituni Chakarabot au la.
Kuna tetesi kwamba ni sehemu ya kuandaa kikosi kazi cha kampeni yake 2025 hivyo Wasanii wananda kutalii kupata exposure na kula Perdiem za nchi hii.
Kumbuka kuna uhaba wa Dola ya Marekani hadi sasa.
Utaijuaje DIPLOMASIA sakala wewe.....Anajinadi kuwa aliongozana na wafanya biasharakumbe wakata mauno
Si mchz kutoka ukuwad mpaka hapo alipoMama Ongea na Mwanao Crew!
Steve Nyerere angekuwa na shule hata diploma hivi angeshapata mahali pa kupachikwa!
Wanatengeneza taifa la wakata mauno,ndomana sahv kila mtotoYaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana ni wasanii wamejaza ndege. Hawa sijajua wameenda kukutana na wakina Mituni Chakarabot au la,.
Sent using Jamii Forums mobile app
SanaaaNchi ya kisenge sana hii
Unataka wakutajie jukumu la kila mmoja huko,kwa kuwa?!!Mbona wamesema ni wafanyabiashara?View attachment 2778179
Unawachukuliaje wasanii? Unajua kodi wanazolipa kina Diamond? Kila kundi lina mchango wake kwa taifa. Sanaa imetoa ajira nyingi sana kwa vijana wa Tanzania. Usiwadharau wasanii kwasababu pia hujawahi kuwasaidia lolote hadi kufika walipofika.Yaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana ni wasanii wamejaza ndege. Hawa sijajua wameenda kukutana na wakina Mituni Chakarabot au la,.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mama hayuko serious kabisaa na hili taifa ni kama kama bado hajawa matured kuwa kiongozi bado ana akili za kitotoIli tusijue hili ni jungu ingekuwa vyema ukaonyesha orodha ya walikuwa katika huo msafara
Kitaalam hii inaitwa 'GUBU'Huyu mama hayuko serious kabisaa na hili taifa ni kama kama bado hajawa matured kuwa kiongozi bado ana akili za kitoto
CCM HoyeeeHuwezi amini asililia 70 ya watu walio ambatana na Raisi ni wasanii wa Bongo Movies na comedian kama Steve Nyerere.
Yaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana ni wasanii wamejaza ndege. Hawa sujajua wameenda kukutana na wakima Mituni Chakarabot au la.
Kuna tetesi kwamba ni sehemu ya kuandaa kikosi kazi cha kampeni yake 2025 hivyo Wasanii wananda kutalii kupata exposure na kula Perdiem za nchi hii.
Kumbuka kuna uhaba wa Dola ya Marekani hadi sasa.
Huyu Bibi viatu vya urais vimemshinda. Worst leader tangu tanganyika ipate uhuruHuwezi amini asililia 70 ya watu walio ambatana na Raisi ni wasanii wa Bongo Movies na comedian kama Steve Nyerere.
Yaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana ni wasanii wamejaza ndege. Hawa sujajua wameenda kukutana na wakima Mituni Chakarabot au la.
Kuna tetesi kwamba ni sehemu ya kuandaa kikosi kazi cha kampeni yake 2025 hivyo Wasanii wananda kutalii kupata exposure na kula Perdiem za nchi hii.
Kumbuka kuna uhaba wa Dola ya Marekani hadi sasa.
Hawa ni wafanya masiharaSio wafanya biashara?