Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,371
- 6,881
Kila kundi la watu ndani ya Nchi hii, linastahili kupewa heshima na viongozi wa Nchi, na hicho ndicho Rais alichofanyaHuwezi amini asililia 70 ya watu walio ambatana na Raisi ni wasanii wa Bongo Movies na comedian kama Steve Nyerere.
Yaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana ni wasanii wamejaza ndege. Hawa sujajua wameenda kukutana na wakima Mituni Chakarabot au la.
Kuna tetesi kwamba ni sehemu ya kuandaa kikosi kazi cha kampeni yake 2025 hivyo Wasanii wananda kutalii kupata exposure na kula Perdiem za nchi hii.
Kumbuka kuna uhaba wa Dola ya Marekani hadi sasa.
Ni mara ya kwanza kwa Wasaanii wengi kuwepo kwenye msafara wa Rais na hivyo Mh. Rais amefanya vizuri hawatakuja walalamike tena huko mbele ya safari iwapo kama itakuja kutokea wasipate tena nafasi ya namna hii
Hii Nchi ni yetu sote na usije ukashangaa siku moja Mh. akaamua kukuchukua wewe au mimi.
Watanzania tupendandeni, mithili ya mzee Mapesa alivyokuwa akisisitiza enzi zile za UDP MAPENDO