Unawachukuliaje wasanii? Unajua kodi wanazolipa kina Diamond? Kila kundi lina mchango wake kwa taifa. Sanaa imetoa ajira nyingi sana kwa vijana wa Tanzania. Usiwadharau wasanii kwasababu pia hujawahi kuwasaidia lolote hadi kufika walipofika.
Domo ni mali yako....Huyu mama hayuko serious kabisaa na hili taifa ni kama kama bado hajawa matured kuwa kiongozi bado ana akili za kitoto
Mwendelezo wa chuki koko juu yake.....Huyu Bibi viatu vya urais vimemshinda. Worst leader tangu tanganyika ipate uhuru
Huwezi amini asililia 70 ya watu walio ambatana na Raisi ni wasanii wa Bongo Movies na comedian kama Steve Nyerere.
Yaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana ni wasanii wamejaza ndege. Hawa sujajua wameenda kukutana na wakima Mituni Chakarabot au la.
Kuna tetesi kwamba ni sehemu ya kuandaa kikosi kazi cha kampeni yake 2025 hivyo Wasanii wananda kutalii kupata exposure na kula Perdiem za nchi hii.
Kumbuka kuna uhaba wa Dola ya Marekani hadi sasa.
Mustakabali wako....upi huo?!!!Hii ni Hatari kwa mustakabali wetu.
Mustakabali wenu! wewe na nani?Hii ni Hatari kwa mustakabali wetu.
Ndo matajiri wa nchi hii unaambiwaHuwezi amini asililia 70 ya watu walio ambatana na Raisi ni wasanii wa Bongo Movies na comedian kama Steve Nyerere.
Yaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana ni wasanii wamejaza ndege. Hawa sujajua wameenda kukutana na wakima Mituni Chakarabot au la.
Kuna tetesi kwamba ni sehemu ya kuandaa kikosi kazi cha kampeni yake 2025 hivyo Wasanii wananda kutalii kupata exposure na kula Perdiem za nchi hii.
Kumbuka kuna uhaba wa Dola ya Marekani hadi sasa.
Utulie sasa. NiongeeManeno yako tu...
Tumeshayozea.....
Hoja dhaifu....Msafara umejaa wahindi tupu na wazanzibar
Only in Africa,Rais ni mwanasiasa....
Watu wa "protokali" ndio wenye kupanga.....
Wanapanga mambo kidiplomasia...hawayapangi kwa kufuta maandiko* yaliyo UBAONI....
Amepewa kitengo cha samia nivalishe kiatu..huko anamwagiwa pesa utadhani bomba kubwa la dawasco limepasuka.Mama Ongea na Mwanao Crew!
Steve Nyerere angekuwa na shule hata diploma hivi angeshapata mahali pa kupachikwa!
To be born this nation is bad luckyHuwezi amini asililia 70 ya watu walio ambatana na Raisi ni wasanii wa Bongo Movies na comedian kama Steve Nyerere.
Yaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana ni wasanii wamejaza ndege. Hawa sujajua wameenda kukutana na wakima Mituni Chakarabot au la.
Kuna tetesi kwamba ni sehemu ya kuandaa kikosi kazi cha kampeni yake 2025 hivyo Wasanii wananda kutalii kupata exposure na kula Perdiem za nchi hii.
Kumbuka kuna uhaba wa Dola ya Marekani hadi sasa.
Na TanganyikaMustakabali wenu! wewe na nani?
Ni bora angemchukua Biswalo Mganga pekee ili akitoka India wapitilize hadi China akamuoneshe ile Akaunti alipozificha zile fedha za Plea Bargain.
Kutoka ukuwad mpaka hapo alipo simchezoAmepewa kitengo cha samia nivalishe kiatu..huko anamwagiwa pesa utadhani bomba kubwa la dawasco limepasuka.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app