Asilimia 70 ya msafara wa Rais Samia nchini India ni Wasanii, akina Steve Nyerere

Huwezi amini asililia 70 ya watu walio ambatana na Raisi ni wasanii wa Bongo Movies na comedian kama Steve Nyerere.

Yaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana ni wasanii wamejaza ndege. Hawa sujajua wameenda kukutana na wakima Mituni Chakarabot au la.

Kuna tetesi kwamba ni sehemu ya kuandaa kikosi kazi cha kampeni yake 2025 hivyo Wasanii wananda kutalii kupata exposure na kula Perdiem za nchi hii.

Kumbuka kuna uhaba wa Dola ya Marekani hadi sasa.
Promoters wa 2025
 
Mbona wamesema ni wafanyabiashara?
Screenshot_20231010-161031.jpg
 
Yaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana ni wasanii wamejaza ndege. Hawa sijajua wameenda kukutana na wakina Mituni Chakarabot au la,.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawachukuliaje wasanii? Unajua kodi wanazolipa kina Diamond? Kila kundi lina mchango wake kwa taifa. Sanaa imetoa ajira nyingi sana kwa vijana wa Tanzania. Usiwadharau wasanii kwasababu pia hujawahi kuwasaidia lolote hadi kufika walipofika.
 
Huwezi amini asililia 70 ya watu walio ambatana na Raisi ni wasanii wa Bongo Movies na comedian kama Steve Nyerere.

Yaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana ni wasanii wamejaza ndege. Hawa sujajua wameenda kukutana na wakima Mituni Chakarabot au la.

Kuna tetesi kwamba ni sehemu ya kuandaa kikosi kazi cha kampeni yake 2025 hivyo Wasanii wananda kutalii kupata exposure na kula Perdiem za nchi hii.

Kumbuka kuna uhaba wa Dola ya Marekani hadi sasa.
CCM Hoyeee
 
Huyu Bibi viatu vya urais vimemshinda. Worst leader tangu tanganyika ipate uhuru
 
Back
Top Bottom