Arusha yazizima baada ya Mbowe kuhutubia

Hakuna kitu kama hicho hapa Tanzania, huwezi kupata majibu hayo. Wenzetu wanaongelea debt crises za nchi zao na dunia, healthcare woes, price of crude oil, rising unemployment numbers, shrinking food supplies... etc etc... sisi national issues zetu ni watoto wa Wassira wahama chama, uwanja wa NMC Arusha umejaa watu, Mwigulu Nchemba anajicheba na wake za watu... ndio national agenda .

Huwezi kuambiwa hapa Mbowe amesema nini Arusha.
Lipumba ameshatueleza sera zake amesema yeye akiwa Rais atakuwa anagawa pesa kwa raia wote na atawafungulia account wote ili mpate gawiwo.

Sisi wanywa kahawa kwa pamoja tumeahidi kura zetu zote ni kwa Lipumba maana hakuna haja ya kufanya kazi Lipumba atakuwa anatumwagia mapesa, huyu ni mchumi wa Dunia.
 
Ritz at work! Mambo yako kwishine!!

Umebakiza alam tu!

Karibu A town ujionee kwa macho yako!

Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.
 
wewe wamekufundisha kubisha kila kitu? mimi nilidhani ulikuwepo Arusha kumbe upo kariakoo.
 
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.

Ukisema kitu fulani ni uongo unapaswa kuutoa ukweli wako, siyo kutuacha kwenye suspense
 
Lipumba ameshatueleza sera zake amesema yeye akiwa Rais atakuwa anagawa pesa kwa raia wote na atawafungulia account wote ili mpate gawiwo.

Sisi wanywa kahawa kwa pamoja tumeahidi kura zetu zote ni kwa Lipumba maana hakuna haja ya kufanya kazi Lipumba atakuwa anatumwagia mapesa, huyu ni mchumi wa Dunia.

"Gawiwo" ni nini?
 
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.
Hujamwelewa kwa kuwa una akili ndogo, ana maana yupo nje ya ofisi ya kata ila kasimama juu ya fuso la chadema. Jitahidi kuuliza siyo kukurupuka
 
sasa ritz hilo fuso si liko nje ya ofisi ulitegemea aseme ndani? si nje kwenye ofisi au ni ili tu tu argue?
 
Are you a great thinker?

Unashangaa, hii ndo jf iliyojibatiza slogan fake ya "home of great thinkers" ukiangalia kwenye dictionary ya kiingereza maana halisi ya great thinker = a person who thinks especially deeply and constructively, hebu fikiria kama hii slogan inaendana na watu kama hawa au jf wanamaana nyingine ya great thinkers
 
Dah!
Hii slogan inabidi iangaliwe upya kwa kweli!!!
 
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.

Watu wengine mnba ubishi wa kijinga,waliopo Arusha wanakwambie ni ofisi ya kata ila bado unabisha?!!!! Basi wewe twambie ni wapi?
 
kiti cha udiwani tushashinda. magamba wakiona ivo hawapendi kabisa. viva cdm
 
Preta,
Udiwani sio issue kuna nafasi muhimu kushinda haiwezekani udiwani, ubunge mtapata.

ha ha.....unanchekesha.....kwa heshma na taadhima.....naomba uwe mgeni wangu rasmi.....nikutembeze katika viunga vya Chugga....kwa macho yako ujionee yanayojiri.....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom