Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Flano alianza Kama mchawi wetu kutia maneno ya nuksi na mikosi, mbaya zaidi uchawi hauendi kwa mentally (the gunner)

Sasa ameamua kuwa mganga kabisa, kila kukicha yeye anakuja na lamli tu

#arsenalNDOO
IMG-20240324-WA0020.jpg
 
Tuseme Mara ngapi, hii ndio phase ya makombe

Epl tunaongoza ligi,
game ngumu iliyobaki Ni moja tu vs wolves ambayo tutakua away

Uefa tunafikiria Kati ya city na Madrid hapa tutakutana na Nani?
🤣 we jamaa🤣
 
Attachments

  • IMG_20240320_010029.jpg
    IMG_20240320_010029.jpg
    37.4 KB · Views: 5
Flano alianza Kama mchawi wetu kutia maneno ya nuksi na mikosi, mbaya zaidi uchawi hauendi kwa mentally (the gunner)

Sasa ameamua kuwa mganga kabisa, kila kukicha yeye anakuja na lamli tu

#arsenalNDOO
View attachment 2943743
Ndugu yangu mkorea mimi sio mganga wala mchawi ila shida ya timu yenu wala haitaji rocket science kuelewa.
Kama kweli mna nia ya kubeba makombe tafuteni kwanza kocha wa kueleweka, achaneni na hizo false hopes anazowalisha Masingeli kuhusu Mateka na takwimu zake za uchwara.
Mateka kipindi chake anacheza mpira alisha prove kua ni failure, halafu nyinyi mnategemea mpate matokeo mazuri kwa kufundishwa na mwalimu ambae naye pia alifeli, Mateka kwenye historia yake ya kucheza soka la kulipwa hajawahi kushinda kombe lolote la maana zaidi ya kombe la FA.
kiufupi Arsenyo haina tofauti yoyote na hizi shule zetu za St. Kayumba ambazo zinafundishwa walimu waliofeli secondary, matokeo yake mtoto anamaliza darasa la 7 halafu hajui kusoma wala kuandika.
Mateka ni Mid table coach, hata mentality zake unaziona kabisa ni za kufundisha Mid Table Team, humu mnadanganyana mwanzo wa msimu halafu mnapofika mwisho wa msimu mnaanza kugundua kua mna Avarage coach ambae hawezi kuwafikisha popote, matusi yanakua mengi humu halafu msimu mpya ukianza mnasahau kabisa kiini cha matatizo ya timu yenu mnakuja tena na ngonjera hizohizo, ndio maana kuna wachambuzi wakubwa wa soka hua wanawachambua mpaka mashabiki wa Arsenyani na kuwaweka kwenye level ya misukule
1711309430208.jpg
1711309350111.jpg
1711309386608.jpg
1711309309611.jpg
1711309279332.jpg
1711309236695.jpg
1711309192826.jpg
1711309137258.jpg
 
Ndugu yangu mkorea mimi sio mganga wala mchawi ila shida ya timu yenu wala haitaji rocket science kuelewa.
Kama kweli mna nia ya kubeba makombe tafuteni kwanza kocha wa kueleweka, achaneni na hizo false hopes anazowalisha Masingeli kuhusu Mateka na takwimu zake za uchwara.
Mateka kipindi chake anacheza mpira alisha prove kua ni failure, halafu nyinyi mnategemea mpate matokeo mazuri kwa kufundishwa na mwalimu ambae naye pia alifeli, Mateka kwenye historia yake ya kucheza soka la kulipwa hajawahi kushinda kombe lolote la maana zaidi ya kombe la FA.
kiufupi Arsenyo haina tofauti yoyote na hizi shule zetu za St. Kayumba ambazo zinafundishwa walimu waliofeli secondary, matokeo yake mtoto anamaliza darasa la 7 halafu hajui kusoma wala kuandika.
Mateka ni Mid table coach, hata mentality zake unaziona kabisa ni za kufundisha Mid Table Team, humu mnadanganyana mwanzo wa msimu halafu mnapofika mwisho wa msimu mnaanza kugundua kua mna Avarage coach ambae hawezi kuwafikisha popote, matusi yanakua mengi humu halafu msimu mpya ukianza mnasahau kabisa kiini cha matatizo ya timu yenu mnakuja tena na ngonjera hizohizo, ndio maana kuna wachambuzi wakubwa wa soka hua wanawachambua mpaka mashabiki wa Arsenyani na kuwaweka kwenye level ya misukuleView attachment 2943825View attachment 2943826View attachment 2943827View attachment 2943828View attachment 2943829View attachment 2943830View attachment 2943831View attachment 2943832
Hizo ni emotional tu, Zitunze Sana hizo risiti maana meseji zako za kichawi chawi nazo tumezitunza. Tutakuna may
 
Tutajie kocha wa kueleweka kwa Sasa ambaye amempita Arteta tactical capacity...tupe list ya makocha watatu tu ambao wakiwekwa pale Arsenal watafanya maajabu...Angalizo; usitutajie Kipara Baba Ubaya Ten Hag hapa
 
Mchezaji gani kwenye timu ya Arsenal wanawake, unamkubali?
Mimi wapo kama sita:
1. McCabe, huyu hata Stars anaanza
2. Lotte Wuben-Moy, Stars anaanza
3. Leah Williamson
4. Little
5. Mead, kidogo na
6. Blackstenius
 
Zinsberger akikatiza kwenye anga zangu lazima nikamtambulishe kwa mama na afundishwe kupika mtori na machalari. Namuweka ndani mazima. Kimpira favourite wangu ni McCabe.
 
Mchezaji gani kwenye timu ya Arsenal wanawake, unamkubali?
Mimi wapo kama sita:
1. McCabe, huyu hata Stars anaanza
2. Lotte Wuben-Moy, Stars anaanza
3. Leah Williamson
4. Little
5. Mead, kidogo na
6. Blackstenius
Kiuchezaji wanaonivutia:

Beth Mead, Kim Little, Kate McCabe, Lotte Wuben-Moy, Leah Williamson, Stina Blackstenius, Alessia Russo, Cloe Lacasse, Frida Maanum, Cooney Cross na Vivi Miedema kwenye ubora wake.

Kimuonekano/Kimaumbile (Kwa Arsenal WFC):

Leah Williamson, Alessia Russo, Stina Blackstenius, Victoria Pelova, Cooney Cross, Cloe Lacasse na mbrazili mmoja yupo kwa mkopo Madrid Castilla wakuitwa Gio.
 
Mchezaji gani kwenye timu ya Arsenal wanawake, unamkubali?
Mimi wapo kama sita:
1. McCabe, huyu hata Stars anaanza
2. Lotte Wuben-Moy, Stars anaanza
3. Leah Williamson
4. Little
5. Mead, kidogo na
6. Blackstenius
Mbona Alessia Russo simuoni kwny list...yule mm ndo namkubali🤠
 
Kuna mdogo wake Leece James yupo Chelsea (Lauren James), yule dada anajua., pamoja na golikipa wa Aston Villa Leat. Wale timu ya Taifa ya wanaume Tz wanaanza bila ubishi
 
Lauren James yule ni mchezaji hasa sema shida yake ana nidhamu ya chini mchezoni...anaweza akafanya rafu za hatari za kuvunja wenzake kabisa
Kuna mdogo wake Leece James yupo Chelsea (Lauren James), yule dada anajua., pamoja na golikipa wa Aston Villa Leat. Wale timu ya Taifa ya wanaume Tz wanaanza bila ubishi
 
| Declan Rice on Man City vs Arsenal on Sunday:

“We know what a big game it is going to be, a potential title-decider, it’s going to be really tight.

“We have got to go to the Etihad which is going to be really tough, but if you want to get past that barrier of Arsenal being labelled stuff, you have to go there and win.

“We have to show that steeliness and character to prove we can be one of the best teams.

“There’s no doubt that City are the best team in the world at the minute, but we have full confidence and belief as a group and the manager that we can get a result.” [via @MailSport] #afc #MCIARS
20240326_141535.jpg
 
Back
Top Bottom