hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,643
- 19,018
Kwamba nyie mna world class kocha?Labda kama unamaanisha makombe ya chooni.
Kwa mid table coach mliye nae mtakua mnatukanana humu kila mwisho wa msimu.
Acheni ubahili tafuteni kocha wa kueleweka, Arteta sio kocha mbaya ila ni avarage kocha wa Mid table team kama Brighton, Everton, Brentford e.t.c
Kila msimu mtakua mnaishia kusifia pressing & overloading halafu mwisho wa ligi mnamtukana kocha humu. View attachment 2942602
Umeanza kuvuta bangi sasa
Hakika mmeshakata tamaa
Hata michuano ya ulaya UCL mtaisikia kwenye bomba