HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,617
- 4,882
Zinsberger akikatiza kwenye anga zangu lazima nikamtambulishe kwa mama na afundishwe kupika mtori na machalari. Namuweka ndani mazima. Kimpira favourite wangu ni McCabe.Mchezaji gani kwenye timu ya Arsenal wanawake, unamkubali?
Mimi wapo kama sita:
1. McCabe, huyu hata Stars anaanza
2. Lotte Wuben-Moy, Stars anaanza
3. Leah Williamson
4. Little
5. Mead, kidogo na
6. Blackstenius