Arsenal (The Gunners) | Special Thread

City ni rahisi kupoteza game ligi ikiwa inaanza ila sio kipindi kama hiki, sisi liver tulishawahi mfukuza hadi tunafikisha points 90+ lakini bado ndoo hatukubeba
City hafai. Tulifanya makosa last season ambayo tulirekebisha this season, ila tukaharibu tena kwa Aston Villa. City hawezi kukuhurumia kabisa ukikosea hivyo.
 
USHAURI WA BURE KWA SHABIKI WA ARSENAL KUHUSU MECHI ZILIZOBAKI.

1. Kusitisha kuangalia mechi zilizobaki za CITY, atashinda mechi zote zilizobaki

2. Kukusanya dawa zote ndani ya nyumba na kwenda kuzitupa mbali au kuzichoma.

3. Kukusanya kamba zote, mtandio, kanga na mkanda ndani ya nyumba na kwenda kuvichoma moto.

4. Ondoa vitu venye ncha kali kama kisu na bisisi nyumbani kwako na kwenda kuvitupa mbali.

5. Mwisho usipite kwenye madaraja marefu au karibu na visima virefu.

MWISHO WA MSIMU UTANISHUKURU
 
Kaka you simply meant tumeshindwa fanyia kazi makosa ya msimu uliopita na huo ndiyo ukweli
Not exactly.
Last season ni kama tuli implode mwishoni. This season tuli implode katikati, halafu tukaibuka tena na so far tumepambana mpaka hizi mechi za mwishoni unaona bado tunapambania kombe. Tungeshinda game ya Aston Villa tungekuwa tunaongea mambo mengine. Ni dalili kuwa kuna ka hatua kadogo tumepiga.
 
Back
Top Bottom