Hiyo haitatokea. Badala yake serikali itanyweaSoon mtasikia MTU katekwa ameng'olewa Meno Yuko mabwepande.
Wewe umeongea pointSerikali imetoa sera mpya za bima, ikaziita maboresho. Madaktari wanaovutana na serikali nao wamekariri, wanatumia neno hilo hilo maboresho! Unapinga maboresho! Basi huna akili kichwani kama unapinga kitu ambacho wewe mwenyewe unakiita maboresho... Waandishi wa Kayumba nao wamemeza, wakakitema, kama kilivyotangazwa na serikali, maboresho! Watu wasomi, madaktari, waandishi wazima, logic vichwani zero. Hawana sense ya kutumia neno mabadiliko!
Hiyo sio sera mkuu..Serikali imetoa sera mpya za bima, ikaziita maboresho. Madaktari wanaovutana na serikali nao wamekariri, wanatumia neno hilo hilo maboresho! Unapinga maboresho! Basi huna akili kichwani kama unapinga kitu ambacho wewe mwenyewe unakiita maboresho... Waandishi wa Kayumba nao wamemeza, wakakitema, kama kilivyotangazwa na serikali, maboresho! Watu wasomi, madaktari, waandishi wazima, logic vichwani zero. Hawana sense ya kutumia neno mabadiliko!
Angesema waache wagome. Serikali ina hospitali nyingi. Wagonjwa wataenda hosp za serikali.Magufuli angetatua huu mgogoro wote kwa sentensi moja tu, tena akiwa barabarani.
Ulale salama Magufuli, tutakukumbuka daima.
CHEAP IS EXPENSIVE.
Sio Bure Wanakatwa mshahara wao kila mwezi..CHEAP IS EXPENSIVE.
Ukiona kitu cha bure kimbiaaaa!!!!! Ni moto!!!
Bure is business in disguise! A tiger in the shadows!
Ukiruka na bure unajikuta uko kwenye MIONZI YA KANSA, TIBA YA BEI NAFUU!
A psychological game to entrap the masses in a medical net!
Kuja huku, kuna chanjo ya bureee!!! 🤣
Au njoo na Bima ya Afya, utahudumiwa BUREEE!
Sawa ni mawazo yakoAcha wagomee wanufaika wa bima huko private halaf tuone watawatibu watanzania wangapi wenye uwezo wa kulipa keshi.
NB
Masikin tujiandae kufa
mzee MAGU angekuwepo huyu jamaa 2ngemuokota kwenye kiroba!!
Imeelezwa vituo vyote Binafsi vya Afya vitasitisha kutoa huduma kwa Wagonjwa wapya wanaotumia Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kuanzia Usiku wa Saa Sita kuamkia Machi 1, 2024 huku wale ambao watakuwa katika Uangalizi Maalum (ICU) wakiongezewa muda wa Saa 48 kuendelea kupata huduma.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Vyama vya Watoa Huduma Binafsi za Afya Tanzania (#APHFTA), Dkt. Egina Makwabe ambaye amesisitiza maamuzi hayo yameafikiwa katika kikao chao Bodi ya APHFTA kilichofanyika Februari 29, 2024.
Amesema “Watakaohitaji huduma watalazimika kulipa fedha Taslim kuongezea pale ambapo gharama za kadi zao za bima zinapoishia, wale wa ICU baada ya muda huo tutafanya mchakato wa kuwahamishia Hospitali za Serikali.”
Uamuzi huo umefikiwa baada ya NHIF kufanya maboresho ya Kitita cha Mafao kwa Wanachama wake na kutangaza utekelezaji wake utaanza rasmi Machi Mosi.
Pia soma - Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya
Sio kweli ni dhana tu,ni kama kipindi kile tulipokuwa tunaamini Kila kinachotengenezwa tz ni feki Kwa Sasa huduma Bora za kibingwa zinapatikana hospitali za serikali.Lakini wanatoa huduma Bora kuliko vituo vya serikali