Serikali yasitisha Bei Mpya za Kitita cha Bima ya Afya ya NHIF

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) huku ikitangaza kuunda kamati huru itakayofanya mapitio ya maboresho yaliyofanyika.

Bei hizo mpya zilizopangwa kuanza kutumika kuanzia Januari mosi, 2024 zimesitishwa hadi itakapotangazwa tena.

Hatua hiyo inatokana na tishio la hospitali binafsi kusitisha huduma za matibabu kwa wenye kadi za NHIF na hivyo kulazimu mazungumzo ya mezani na waziri mwenye dhamana ya afya, Ummy Mwalimu.

Desemba 18, 2023 NHIF ilifanya mapitio ya kitita cha mafao kwa mwaka 2023, ambayo kwa mujibu wao yalilenga kuongeza au kupunguza gharama katika baadhi ya huduma, ili kuendana na bei halisi ya soko.

Kutokana na mabadiliko hayo, iliibuka sintofahamu baada ya madaktari bobezi kuyalalamikia wakidai kutoshirikishwa huku wamiliki wa hospitali binafsi wakieleza kutoyaafiki.

Uamuzi huo umefikiwa jana Alhamisi, Januari 4, 2024 baada ya mkutano wa ndani kati ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na wawakilishi wa wamiliki wa hospitali binafsi wakiwamo Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC), Chama cha Wamiliki wa Vituo vya Afya Binafsi Tanzania (APHFTA) na Bakwata.

============For English Audience Only===================
The Tanzanian government has suspended the new pricing for medical services under the National Health Insurance Fund (NHIF), announcing the formation of an independent committee to review the implemented improvements. The new prices, set to take effect from January 1, 2024, have been put on hold until further notice. This decision follows threats from private hospitals to halt medical services for NHIF cardholders, prompting negotiations with the Minister of Health, Ummy Mwalimu.

On December 18, 2023, NHIF reviewed the benefit package for 2023, aiming to adjust costs for certain services to reflect the real market prices. However, this led to confusion as specialist doctors complained of not being consulted, while private hospital owners expressed disagreement with the changes.

The decision was reached on Thursday, January 4, 2024, following an internal meeting between the Minister of Health, Ummy Mwalimu, and representatives of private hospital owners, including the Christian Social Services Commission (CSSC), the Association of Private Health Facilities Owners in Tanzania (APHFTA), and Bakwata.
 
Hatari sana,hawa NHIFTZ kama wameshindwa kutupatia huduma bora sisi wanachama ni bora wakaweka uhuru wa wanachama Hasa watumishi kujiunga na mifuko mingine ya Bima wanayoona itahudumia afya zao kwa umakini.

Binafsi nakatwa almost sh 30,000 kila mwezi kwa ajili ya Bima,lakini mimi niko tayari hata kukatwa mara mbili ya kiasi wanachokata NHIFTZ ili tu familia yangu ipate huduma bora.

Huduma nyingi mmeziondoa huku Bima ikiwa haiwezi kuhudumia baadhi ya huduma ,huu ni ujanja ujanja uliokithiri,sasa mmeona haitoshi mnaanza kufanya kamali kwenye afya zetu,Muraniwe kabisa,hakuna kitu muhimu kama huduma bora kwa afya zetu.

Mfuko mmeufirisi na kuufisadi wenyewe lakini tunaoumia na kuwekewa vigezo ni wanachama ,eti ni mbinu za kuunusuru mfuko.
 
Hatari sana,hawa NHIFTZ kama wameshindwa kutupatia huduma bora sisi wanachama ni bora wakaweka uhuru wa wanachama Hasa watumishi kujiunga na mifuko mingine ya Bima wanayoona itahudumia afya zao kwa umakini.

Binafsi nakatwa almost sh 30,000 kila mwezi kwa ajili ya Bima,lakini mimi niko tayari hata kukatwa mara mbili ya kiasi wanachokata NHIFTZ ili tu familia yangu ipate huduma bora.

Huduma nyingi mmeziondoa huku Bima .
 
We use cookies to improve your experience on our site and to show you relevant advertising. To find out more, read our updated Privacy Policy

Ok

ADVERTISEMENT

The East African

Business

Tanzania makes u-turn on reduced NHIF rates after private sector protests

FRIDAY JANUARY 05 2024

[https://www]

Tanzania Health minister Ummy Mwalimu. PHOTO | NMG

ADVERTISEMENT

[https://www]

By APOLINARI TAIRO

More by this Author

The Tanzanian government has stopped the implementation of new rates for the National Health Insurance Fund (NHIF) following pressure from private hospitals and specialised medical service providers.

In new charges effective January 1, the Fund reduced the payments it would cover for medical consultation and treatment, forcing the private health sector operators to protest, threatening to withhold services from NHIF cardholders.

The Fund issued a directive with the new rates on December 18, saying it aimed to reflect market prices.

However, the Association of Private Health Facilities in Tanzania (APHFTA) said the revised fees would cause huge losses, citing the high costs of running their facilities.

Health minister Ummy Mwalimu Thursday held a day-long meeting with the stakeholders, following which she announced the suspension of the rates.

About 20 million people in Tanzania are registered with the NHIF scheme, most of them being government employees.

ADVERTISEMENT

Ms Mwalimu said she would establish an independent commission to review the rates of the NHIF medical services package.

Under the new package, the costs covered for blood filtration (haemodialysis) dropped from Tsh240,000 ($95) to Tsh200,000 ($79) per patient.

Hernia surgery was reduced from Tsh150,000 ($60) to Tsh110,000 ($43. Consultation fees for specialist doctors were down from Tsh35,000 ($13) to Tsh25,000

Nashauri mamlaka za uteuzi zimu
Za uteuzi zi
 
Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) huku ikitangaza kuunda kamati huru itakayofanya mapitio ya maboresho yaliyofanyika.

Bei hizo mpya zilizopangwa kuanza kutumika kuanzia Januari mosi, 2024 zimesitishwa hadi itakapotangazwa tena.

Hatua hiyo inatokana na tishio la hospitali binafsi kusitisha huduma za matibabu kwa wenye kadi za NHIF na hivyo kulazimu mazungumzo ya mezani na waziri mwenye dhamana ya afya, Ummy Mwalimu.

Desemba 18, 2023 NHIF ilifanya mapitio ya kitita cha mafao kwa mwaka 2023, ambayo kwa mujibu wao yalilenga kuongeza au kupunguza gharama katika baadhi ya huduma, ili kuendana na bei halisi ya soko.

Kutokana na mabadiliko hayo, iliibuka sintofahamu baada ya madaktari bobezi kuyalalamikia wakidai kutoshirikishwa huku wamiliki wa hospitali binafsi wakieleza kutoyaafiki.

Uamuzi huo umefikiwa jana Alhamisi, Januari 4, 2024 baada ya mkutano wa ndani kati ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na wawakilishi wa wamiliki wa hospitali binafsi wakiwamo Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC), Chama cha Wamiliki wa Vituo vya Aafya Binafsi Tanzania (APHFTA) na Bakwata.
Watakuja kukanusha kuwa hii kitu sio. Ya kweli
 
Ku
Hatari sana,hawa NHIFTZ kama wameshindwa kutupatia huduma bora sisi wanachama ni bora wakaweka uhuru wa wanachama Hasa watumishi kujiunga na mifuko mingine ya Bima wanayoona itahudumia afya zao kwa umakini.

Binafsi nakatwa almost sh 30,000 kila mwezi kwa ajili ya Bima,lakini mimi niko tayari hata kukatwa mara mbili ya kiasi wanachokata NHIFTZ ili tu familia yangu ipate huduma bora.

Huduma nyingi mmeziondoa huku Bima ikiwa haiwezi kuhudumia baadhi ya huduma ,huu ni ujanja ujanja uliokithiri,sasa mmeona haitoshi mnaanza kufanya kamali kwenye afya zetu,Muraniwe kabisa,hakuna kitu muhimu kama huduma bora kwa afya zetu.

Mfuko mmeufirisi na kuufisadi wenyewe lakini tunaoumia na kuwekewa vigezo ni wanachama ,eti ni mbinu za kuunusuru mfuko,
Kumbe na huku kumelambwa kama kule kwenye kikoko......t...ooo?hii mifuko mbona inaonewa sn.
 
Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) huku ikitangaza kuunda kamati huru itakayofanya mapitio ya maboresho yaliyofanyika.

Bei hizo mpya zilizopangwa kuanza kutumika kuanzia Januari mosi, 2024 zimesitishwa hadi itakapotangazwa tena.

Hatua hiyo inatokana na tishio la hospitali binafsi kusitisha huduma za matibabu kwa wenye kadi za NHIF na hivyo kulazimu mazungumzo ya mezani na waziri mwenye dhamana ya afya, Ummy Mwalimu.

Desemba 18, 2023 NHIF ilifanya mapitio ya kitita cha mafao kwa mwaka 2023, ambayo kwa mujibu wao yalilenga kuongeza au kupunguza gharama katika baadhi ya huduma, ili kuendana na bei halisi ya soko.

Kutokana na mabadiliko hayo, iliibuka sintofahamu baada ya madaktari bobezi kuyalalamikia wakidai kutoshirikishwa huku wamiliki wa hospitali binafsi wakieleza kutoyaafiki.

Uamuzi huo umefikiwa jana Alhamisi, Januari 4, 2024 baada ya mkutano wa ndani kati ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na wawakilishi wa wamiliki wa hospitali binafsi wakiwamo Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC), Chama cha Wamiliki wa Vituo vya Aafya Binafsi Tanzania (APHFTA) na Bakwata.
Msikilize hapa Ummy akisifia watumishi wa Afya!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi nakatwa almost sh 30,000 kila mwezi kwa ajili ya Bima,lakini mimi niko tayari hata kukatwa mara mbili ya kiasi wanachokata @NHIFTZ ili tu familia yangu ipate huduma bora.
Hawalitaki hilo kwakuwa hawawezi kuiba
 
Kwa hali ya @NHIF kuwa na wateja wengi tena makampuni makubwa kabisa kama vile Nmb,Crdb, TRA, BOT naamini hawa wanalipa premium kubwa sana.

Ukirudi kwa sie tunaolipa kwa asilimia, mzigo unakuwa umenyooka sana.

Inasikitisha sana shirika kuwa na bla blah nyingi kwenye kusimamia utoaji wa huduma na ulipaji wa gharama kwa watoa huduma.
 
Back
Top Bottom