Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Mama muuzaa hapo Himo!!!!! Muongezee chupa ya pili ya Gongo Makupa Naona ana kiu kama pasi
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.
Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.
Mkuu siku zote ukweli unauma, mkuu sio siri hata huyo Nape hanijui sijatumwa na mtu yoyote yule bali nimeamua kuwasilisha ninachoona ni dhahiri.
Hang-over za wik end zinasumbua sana...
makupa jamaa yetu haya mawazo yako anayeweza kuyaelewa ni ms na ff tu..lakini pia si mbaya ukimpm rejao,ritz,balantanda,mama porojo nk watafurahia sana pm yako
CHADEMA wanafanya kazi pamoja, kwa moyo moja, kwa standard ile ile. Zitto ni mwenyekiti wa POAC, alitoa hoja ya kuiwajibisha serikali kama CDM, siyo kama yeye. CDM ni moja na itaendelea kuwa moja bila kuyumbishwa na mpumbavu yeyote.
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.
Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.
Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.
Useless analysis

Nakubaliana na wewe, hapa mtaani kwetu mwenyekiti wa tawi la CDM na Katibu wake usiku wa jana wameshikana mashati; kweli hiki chama ni uvunjaji wa amani tu
hakuhitaji degree kutambua CHADEMA kinapotea kabla ya 2015 dalili zipo wazi
Usijidanganye wala usidanganye umma. Slaa na Zitto picha haziendi kabisa na wala hawawivi chungu kimoja. Hakuna asiyejuwa hilo labda ni punguani.
Zitto huwa hakubaliani na maamuzi mengi ya Mwenyekiti na Katibu Mkuu, hilo linajulikana na migogoro mingi ya uongozi na hitilafu baina yao zimeshajitokeza zaidi ya mara moja. Ilishafikia mpaka Zitto kuwekwa kiti moto, umesahau kabla ya kulazwa Agakhan Hospital mara ya kwanza? unaonesha ni mfupi wa kumbukumbu.
Kama mume na mke wanaweza kushikana mashati na kuamuliwa - wakaendelea kuishi pamoja; unashangaa Mwenyekiti na Katibu kushikana mashati? Umefirisika mawazo dogo; au umebanwa m.a.v.iNakubaliana na wewe, hapa mtaani kwetu mwenyekiti wa tawi la CDM na Katibu wake usiku wa jana wameshikana mashati; kweli hiki chama ni uvunjaji wa amani tu