Anguko la CHADEMA sasa ni dhahiri

Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

Nashindwa kuamini kuwa mpaka sasa wapo bado watu wenye akili fupi kama zako. Endelea kuuchapa usingizi kwani naogopa kukuamsha nisije nikalala mimi!!!
 
WanaJF wakati mwingine tusiwe tunapoteza muda kwa thread ambazo sio za great thinkers, hata ukisoma kichwa cha thread na kilichoandikwa ni kama mlevi anoropkea walevi wenzake. Huyo alitaka Mdee na Tundu waende mbele kutoa hoja wakati walishapendekeza wenyeivit wakati wa kufanya majumuisho watoe pendekezo hilo na ndivyo alivyofanya Zito kama mwenyekiti wa kamati.
 
u use ur balls instead of ur brain to reason! Anguko la CDM amid of CCM disintegration members and leaders parting the party and u still dont see that! Where is ur patriotism?
 
hii akili au m<*¢vi? tatizo la kutumia masaburi badala kazi yake stahiki.
 
mafilili kwa hili unaarisha kwa kutumia mdomo jamani, waongelea katibu wa tawi wa cdm kushikana mashati, hujui kuwa waziri omar nundu na naibu wake wameshikana mashati tena hadharani? Hujui kuwa jk na fisadi lowasa hawaelewani? Hujui kuwa samwel sita na el hawaelewani? Duh fahamu mafisadi hawabebeki

mbona hili la mwakyembe kunyweshwa sumu na el hujamwambia
 
Huenda mtoa mada ana nia yake, hata hivyo kubwa ni kuwa tunapaswa kuangalia kwa makini, sio utabiri mwema kwa chama kikuu cha upinzani, Ila katika maneno kumi ya ujinga ni vizuri kuangalia ikiwa lipo lenye uzito. Maana yangu ni kuwa inawezekana wanapandikiza, lakini hata katika kupandikiza wahusika wakuu (CDM) waone kuwa nia ya wengi ni kuona tofauti zao zikiwa pembeni, kusudi na nia ya ukombozi kwa Taifa ikiwa ndio ajenda ya msingi, sifa binafsi, kutangulia wengine na yanayofanana na hayo yasipate nafasi kwani itakuwa furaha kwa watenda maovu dhidi ya maskini na wanyonge wengi wa Taifa letu.
 
Jamani mambo mengine ni ya kupuuza wala hayana hadhi ya kujadiliwa humu mtakuwa mnawapa umaarufu hawa wachumia tumbo. Wakati mwingine tujithibiti nafsi zetu tuweke akiba kuchangia mambo ya msingi.
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

Ungekuwa kwetu Shinyanga unge..... Mchawi we.....!!!!
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

SO WHAT? Kaanze upya,kajipange
 
Haya ndio mambo yanayofanya mtukanwe hapa jamvini. Utumbo bila uthibitisho, alinukuliwa wapi na lini akisema hivyo? Nukuu zote zilizoziona anasema hili ni jambo la kitaifa na ni zaidi ya chama. Haya yako ameyasema lini na wapi?

Huyo makupa ndo walewale walio tumwa,the like WABEROYA,TUNTEMEKE,RITZ,REJAO
 
Kuna watu wanalalamika kwamba sisi tunawatusi, em sema na wewe kwa uzi kama huu unategemea michango gani toka kwangu, Ni wapi Zitto aliposema kwamba hii ni hoja yake binafsi, siku zote amesema hii ni zaidi ya hoja ya CHADEMA, ni hoja ya kitaifa kwa ajili ya wanyonge.

Leo mtu anakuja kupotosha kiasi kama hiki! Af et kwa hili tu ndiyo iwe proof ya anguko la CHADEMA, Yaani udini, ukanda ulishindwa leo ije hili la sahihi 70
na ndio maana alisema wabunge wa vyama vyote wametia saini isipokuwa wa udp
 
Aiseee umekosa story? sio lazima uanzishe thread unaweza ukasoma za wengine mpaka pale utakapopata news yenye mashiko.I hate Ruby the heart stealer.
 
Back
Top Bottom