"Muuaji anapendelea kuvaa suruali ya jeans, fulana nyeupe na kofia na raba"
Huo utambuzi umeniacha hoi.
Kumbe wake za watu sio waaminifu? Wanakutana na mtu njiani tu wanampa ndoa yao? Jesus. Nikwavile jamaa anawaua ndio maana simsupport ingekuwa adhabu nyingine wallah ningempa baraka zangu.
"Muuaji anapendelea kuvaa suruali ya jeans, fulana nyeupe na kofia na raba"
Huo utambuzi umeniacha hoi.
kumbe wanamfaham!!!sasa kwann wanashindwa kumkamata
kumbe wanamfaham!!!sasa kwann wanashindwa kumkamata
hahahahahah lol
Karibu Tanzania..
.
Kamanda Kova alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa polisi imepata taarifa kuhusiana na mwanaume mweupe anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30, anayependelea kuvaa suruali aina ya Jeans, fulana nyeupe, raba na kofia kwamba ndiye mhusika wa matukio hayo ya mauaji.
.
hivi hadi mwanamke aliyeolewa anaenda nje ya ndoa kuzini na mwanaume mwingine inapendeza kweli au?dawa ni kuendelea kuwaua ili kukomesha maambukizi ya ukimwi hovyo hovyo:frusty:
waseme ni mtu 'local' wa hayo maeneo,anawasoma victims wake kabla hajawatokea,haiwezekani 'ukajua' tu kuwa huyu ni mke wa mtu kwa kukutana naye na pia haiwezekani kila mwanamke akamkubalia siku ya kwanza tu anapokutana nao atakuwa anajenga mazoea nao kwanza au anajulikana kwa hao watu kidogo...mtazamo wangu lol:frusty:
"Muuaji anapendelea kuvaa suruali ya jeans, fulana nyeupe na kofia na raba"
Huo utambuzi umeniacha hoi.