Anataka nifanye nae mapenzi kutokana na mateso ya mumewe

Thredi ina miaka minne! Kama aliliwa ashapona siku mingi.
 
Huyo ni mchezo. Ukikubali tu unaenda kuliwa pesa. Wanatengeneza fumanizi feki, matapeli hao.
 
Angalia sana siku hizi huo ndio mtindo mpya wa kutoa kucha na meno then kaburi mabwepande. Nashauri tu
 
Back
Top Bottom