Anataka nifanye nae mapenzi kutokana na mateso ya mumewe

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Ilikuwa juzi majira ya jioni jioni hivi mara nikapata simu kutoka kwa dada fulani hivi alijitambulisha kwa jina la Fatma(simfahamu) na alikuwa anamuulizia mtu pia ambaye simjui(kutokana na situation alikuwa amekosea namba) akawa amelitambua hilo mapemaa..
Sasa baada kama ya saa moja hivi nikapokea tena simu kwa namba ile ile ya kwanza ya Fatma mara hii tena nilivyopokea kumbe mumewe ndo aliyenipigia na akaanza kunishtumu kuwa namchukulia mkewe na kuanza kunitukana matusi ya maungoni mimi nilichokifanya niliiweka simu loudspeaker na kuanza kupiga mabati na fimbo(kwa nia ya kumpigia kelele) kwa kuwa nilimuambia ki-staarabu hakunielewa.
Sasa mwisho wa picha mkewe akanipigia na kuniambia kuwa mumewe anampga,ana mtukana na kumtesa kwa kosa ambalo hajafanya hivyo akawa ananiambia ananitaka nifanye mapenzi nae kwa kuwa amechoka kulaumiwa kwa kosa hasilofanya ni bora tu alifanye kabisa na kuongezea kuwa atalipa guest house mwenyewe ili mradi tu nikamshughurikie.
Sasa mimi niko dilema naombeni ushauri wana jamii yoo..GT hapa yoo
 
Sasa mwisho wa picha mkewe akanipigia na kuniambia kuwa mumewe anampga,ana mtukana na kumtesa kwa kosa ambalo hajafanya hivyo akawa ananiambia ananitaka nifanye mapenzi nae kwa kuwa amechoka kulaumiwa kwa kosa hasilofanya ni bora tu alifanye kabisa na kuongezea kuwa atalipa guest house mwenyewe ili mradi tu
Sasa mimi niko dilema naombeni ushauri wana jamii yoo..GT hapa yoo
Kaonane nae uone Kama analipa....
 
Ilikuwa juzi majira ya jioni jioni hivi mara nikapata simu kutoka kwa dada fulani hivi alijitambulisha kwa jina la Fatma(simfahamu) na alikuwa anamuulizia mtu pia ambaye simjui(kutokana na situation alikuwa amekosea namba) akawa amelitambua hilo mapemaa..
Sasa baada kama ya saa moja hivi nikapokea tena simu kwa namba ile ile ya kwanza ya Fatma mara hii tena nilivyopokea kumbe mumewe ndo aliyenipigia na akaanza kunishtumu kuwa namchukulia mkewe na kuanza kunitukana matusi ya maungoni mimi nilichokifanya niliiweka simu loudspeaker na kuanza kupiga mabati na fimbo(kwa nia ya kumpigia kelele) kwa kuwa nilimuambia ki-staarabu hakunielewa.
Sasa mwisho wa picha mkewe akanipigia na kuniambia kuwa mumewe anampga,ana mtukana na kumtesa kwa kosa ambalo hajafanya hivyo akawa ananiambia ananitaka nifanye mapenzi nae kwa kuwa amechoka kulaumiwa kwa kosa hasilofanya ni bora tu alifanye kabisa na kuongezea kuwa atalipa guest house mwenyewe ili mradi tu nikamshughurikie.
Sasa mimi niko dilema naombeni ushauri wana jamii yoo..GT hapa yoo

Wf muhuni
Iyo yoo itakuwa nyoo.
 
Nenda kaka! ila jiandae kwa mambo yafuatayo:
1. ukikuta hanamvuto uwetayari kumsaidia pia
2.Uwe fiti kwa magoli ya kutosha
3. jiandae kugeuzwa, kulipa au kudhalilishwa pindi ukifumaniwa
4. usisahau salama c
nihayo
 
Mkuu,

Usijefanyiwa kama Location yako!

Ibilisi ana njia nyingi za kumnasa Mwanadamu muadilifu, take care!!
 
Hata kama mkifanya kwa siri na msikamatwe,mtu makini hawezi kushauriwa jambo la kijinga nae akakubali kulifanya!
 
Donot try it anywhere..utaibiwa hadi boxer..tuulize, hiyo ni one of tricky malaya-wezi wanazozitumia.
 
Ilikuwa juzi majira ya jioni jioni hivi mara nikapata simu kutoka kwa dada fulani hivi alijitambulisha kwa jina la Fatma(simfahamu) na alikuwa anamuulizia mtu pia ambaye simjui(kutokana na situation alikuwa amekosea namba) akawa amelitambua hilo mapemaa..
Sasa baada kama ya saa moja hivi nikapokea tena simu kwa namba ile ile ya kwanza ya Fatma mara hii tena nilivyopokea kumbe mumewe ndo aliyenipigia na akaanza kunishtumu kuwa namchukulia mkewe na kuanza kunitukana matusi ya maungoni mimi nilichokifanya niliiweka simu loudspeaker na kuanza kupiga mabati na fimbo(kwa nia ya kumpigia kelele) kwa kuwa nilimuambia ki-staarabu hakunielewa.
Sasa mwisho wa picha mkewe akanipigia na kuniambia kuwa mumewe anampga,ana mtukana na kumtesa kwa kosa ambalo hajafanya hivyo akawa ananiambia ananitaka nifanye mapenzi nae kwa kuwa amechoka kulaumiwa kwa kosa hasilofanya ni bora tu alifanye kabisa na kuongezea kuwa atalipa guest house mwenyewe ili mradi tu nikamshughurikie.
Sasa mimi niko dilema naombeni ushauri wana jamii yoo..GT hapa yoo

Siku hizi mambo yamekuwa magumu sana,inaweza kuwa wamepanga ili wafanye fumanizi ili wajipatie kipato,je uko tayari kulipa?
 
Nakubaliana na Cheze hiyo ni setup. Itakuwaje mwanamke hajawahi kukuona akushikie bango anataka kulala na wewe na gharama za guest alipie? Jiulize kijana utakuja tegeshewa uchukuliwe video halafu uwe blackmailed.
 
Great Thinker, ukisema kuwa uko kwenye dilema ni kuwa kuna sehemu ya moyo wako inakuruhusu na ipo inayokukataza, Eh?v
 
Back
Top Bottom