Anataka nifanye nae mapenzi kutokana na mateso ya mumewe

Ilikuwa juzi majira ya jioni jioni hivi mara nikapata simu kutoka kwa dada fulani hivi alijitambulisha kwa jina la Fatma(simfahamu) na alikuwa anamuulizia mtu pia ambaye simjui(kutokana na situation alikuwa amekosea namba) akawa amelitambua hilo mapemaa..
Sasa baada kama ya saa moja hivi nikapokea tena simu kwa namba ile ile ya kwanza ya Fatma mara hii tena nilivyopokea kumbe mumewe ndo aliyenipigia na akaanza kunishtumu kuwa namchukulia mkewe na kuanza kunitukana matusi ya maungoni mimi nilichokifanya niliiweka simu loudspeaker na kuanza kupiga mabati na fimbo(kwa nia ya kumpigia kelele) kwa kuwa nilimuambia ki-staarabu hakunielewa.
Sasa mwisho wa picha mkewe akanipigia na kuniambia kuwa mumewe anampga,ana mtukana na kumtesa kwa kosa ambalo hajafanya hivyo akawa ananiambia ananitaka nifanye mapenzi nae kwa kuwa amechoka kulaumiwa kwa kosa hasilofanya ni bora tu alifanye kabisa na kuongezea kuwa atalipa guest house mwenyewe ili mradi tu nikamshughurikie.
Sasa mimi niko dilema naombeni ushauri wana jamii yoo..GT hapa yoo
Unaonaje ukishauriana na mpenzi wako au mkeo kuhusu hili kwanza,au nae uko tayari kumsaliti pia?...au uko single & searching kwa hiyo hilo umeona kama zali la mentali mkuu?.

Ww ni msamaria mwema au mtu wa Red Cross? Duu unachekesha. U R AN IDIOT!!!! Kwa lugha nyepesi
 
Ilikuwa juzi majira ya jioni jioni hivi mara nikapata simu kutoka kwa dada fulani hivi alijitambulisha kwa jina la Fatma(simfahamu) na alikuwa anamuulizia mtu pia ambaye simjui(kutokana na situation alikuwa amekosea namba) akawa amelitambua hilo mapemaa..
Sasa baada kama ya saa moja hivi nikapokea tena simu kwa namba ile ile ya kwanza ya Fatma mara hii tena nilivyopokea kumbe mumewe ndo aliyenipigia na akaanza kunishtumu kuwa namchukulia mkewe na kuanza kunitukana matusi ya maungoni mimi nilichokifanya niliiweka simu loudspeaker na kuanza kupiga mabati na fimbo(kwa nia ya kumpigia kelele) kwa kuwa nilimuambia ki-staarabu hakunielewa.
Sasa mwisho wa picha mkewe akanipigia na kuniambia kuwa mumewe anampga,ana mtukana na kumtesa kwa kosa ambalo hajafanya hivyo akawa ananiambia ananitaka nifanye mapenzi nae kwa kuwa amechoka kulaumiwa kwa kosa hasilofanya ni bora tu alifanye kabisa na kuongezea kuwa atalipa guest house mwenyewe ili mradi tu nikamshughurikie.
Sasa mimi niko dilema naombeni ushauri wana jamii yoo..GT hapa yoo
Usikubali kabisa,,,uzinzi ni dhambi
 
Wanataka kukutengenezae mtego wakufumanie. Siku hizi mbinu za kusaka hela zimekuwa nyingi sana. Epukana kabisa na hao mashetani. Waambie wakuache na maisha yako.
 
Eti mimi nakushauri usiende kabisa. Naungana na wengi walokushauri usiende.

Don't even try to think about it.
 
Hana lolote, anamchepuko wake amekutupia tu mzigo na anataka kukukamatisha
Ukienda ujue unaenda pumuliwa kisogon
 
Nenda kaka! ila jiandae kwa mambo yafuatayo:
1. ukikuta hanamvuto uwetayari kumsaidia pia
2.Uwe fiti kwa magoli ya kutosha
3. jiandae kugeuzwa, kulipa au kudhalilishwa pindi ukifumaniwa
4. usisahau salama c
nihayo

5. Usisahau kuleta mrejesho
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom