Hahahaha utamu mpaka kisogoni? Au utamu wa kujing'ata ulimi dah nina makovu balaa.
Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika kipindi ananing'ata sasa sielewi ni nn hii wadau.......
Fidel utanisamehe lakini siwezi kuacha kuuliza hivi huyu mrembo ni yule uliyemtoa kwenye ile thread yako unayouliza kama mimba ni yako au ni mwingine tena? Maana kule unasema ulishaacha hii issue sasa ni vipi au hawa warembo unao utitiri?[/QUOTE]
watakuwa utitiri!
hivi wewe ni mnyalu?mbona umeongea neno la kibena kabisa?
hahahah!baada ya hapa nenda kamkamue .....akirudia tena nawewe mng'ate alafu uone kitakachotokea......