Ananing'ata

Unakuwa unafanya nini mpaka unag'atwa miguuni Fidel80 wewee???

Dah mpwa si kunako na wewe bana hujui mapenzi ni sanaa na full utundu sasa sielewi nimezidisha mno manjonjo! mpaka shem wako anajisahau ananing'ata.
 
Muulize mkeo huwa anajisikiaje, raha au maumivu. Nadhani yuko ktk nafasi nzuri zaidi kuliko mtu mwingine


Haswaa mkuu. Nami naona ambaye atakueleza ukweli ni mamsapu. Hila mi nadhani ni utamu kolea.
 
hiyo ilinitokeaga kipindi fulani duh! hadi sasa sina hamu naye, alining'ata shingoni hadi damu! hamu yote ikaishia hapahapo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom