Ananing'ata

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika kipindi ananing'ata sasa sielewi ni nn hii wadau.......
 
hafurahii "raha" - probably ana maumivu kwenye "nyeti" - better consult a physician.
 
mkuu utamu huo unapitiliza!!, hahahahaaaaaa haa teh teeh
 
fidel bwana utamuu huo,unajua mtu akifika kilele anaweza kuwa kichaa! oooh ni sayari nyingine hiyo isiyoexist hata kwenye solar system
 
fidel bwana utamuu huo,unajua mtu akifika kilele anaweza kuwa kichaa! oooh ni sayari nyingine hiyo isiyoexist hata kwenye solar system

Hahahaha utamu mpaka kisogoni? Au utamu wa kujing'ata ulimi dah nina makovu balaa.
 
itakuwa anasikia rahaaaaaaa........utamuuuuuu,kudadadeki!!!!!!!!!!!!!!
 
Muulize mkeo huwa anajisikiaje, raha au maumivu. Nadhani yuko ktk nafasi nzuri zaidi kuliko mtu mwingine
 
baada ya hapa nenda kamkamue .....akirudia tena nawewe mng'ate alafu uone kitakachotokea......
 
Inabidi uwe makini, maana siku atakuja kukung'ata katika nanihiii.
 
Fidel niambie mkuu,

Ni yupi kati ya yule mwenye mimba yako au mkeo wa ndoa?
 
Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika kipindi ananing'ata sasa sielewi ni nn hii wadau.......

Fidel utanisamehe lakini siwezi kuacha kuuliza hivi huyu mrembo ni yule uliyemtoa kwenye ile thread yako unayouliza kama mimba ni yako au ni mwingine tena? Maana kule unasema ulishaacha hii issue sasa ni vipi au hawa warembo unao utitiri?
 
Fidel utanisamehe lakini siwezi kuacha kuuliza hivi huyu mrembo ni yule uliyemtoa kwenye ile thread yako unayouliza kama mimba ni yako au ni mwingine tena? Maana kule unasema ulishaacha hii issue sasa ni vipi au hawa warembo unao utitiri?[/QUOTE]
watakuwa utitiri!
hivi wewe ni mnyalu?mbona umeongea neno la kibena kabisa?
 
baada ya hapa nenda kamkamue .....akirudia tena nawewe mng'ate alafu uone kitakachotokea......
hahahah!
wewe bana vituko vingi.na yeye atakuwa kileleni sasa,unadhani atakumbuka kujirudishia?
 
Mkuu, swali zuri maana juzi tu demu kanifanyia hivyo hivyo.....na huyu ni mtasha sasa nilipomuuliza asubuhi akaomba msamaha sana, maana hakumbuki kama alifanya hivyo..! Ila huyu alikuwa anajifanya mjanja sana, na nilipopata nafasi, nimeitumia vilivyo, na kuna wakati alikuwa anaongea kama kichina au kijapani, ingawa anasema wala hajui lugha hizo..!! Ametubu kuwa waafrika moto wa kuotea mbali....na sasa rafikize naona wanaulizia sana kama nina jamaa nawajua ambao wapo free....................
 
oya mi ni dokta huo ni ugonjwa tuwasiliane haraka sana umlete akae kwenye klinik yangu kwa mda wa siku 2 atakuwa amepona...
 
Back
Top Bottom