Anakatazwa kutoka ndani!!

Ahaaaa ahaaaa:lol::lol: yaani unazidi kunichekesha tu aisee tafadhali usinifanyie hivyo hivi haunionei huruma tu hali tulionayo hizo KUNG FU PANDA zinatosha l.o.l

Hahahahahahahah
kum fu panda
Bado hazijakolea vizuri
ndo zinaanza..
take a dip breath,relax ,nakuja
 
Pole yake sana mjamaa, Mara nyingi sana watu wenye matatizo kama hayo huwa hawashauriki, cause anakuwa ameshaathirika kisaikolojia.. Na ukifosi kumpa ushauri mtagombana utakuwa adui yake,ataona unataka kumgombanisha na kipenzi chake.. Dawa ni kumuacha hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho,, atachemsha tu, Au karogwa nn????
 
Wanawake wa design hii unamtongoza yeye sasa

Lengo kula na nduguyo tu. Utakuwa unamtoa out yeye badala ya mmewe.

Ahahahaaaaahh!! Fidel80 acha utani bana, mwanamke mwenyewe hata nikimsalimia salamu anaitikia kwa unyonge, nitaanzaje kumtongoza.
 
Hiyo chai ataisikilizia kwenye kipindi cha mapishi.

Ni kavu kavu tu mpka saa tisa na tena mpaka kesho.

Mie nadhani ni zaidi ya mwehu kabisa kha?!!

Ni mihogo tu na samaki wakavu. unajua wanawake bana tukipendwa shida tukinyanyaswa shida
 
Hahahahahahahah
kum fu panda
Bado hazijakolea vizuri
ndo zinaanza..
take a dip breath,relax ,nakuja
Ahaaa ahaaa imagine narudi halafu unanifungia nalala sebuleni aisee huo ni uonevu ambao hata UNITED NATIONS haukubaliki
 
Pole yake sana mjamaa, Mara nyingi sana watu wenye matatizo kama hayo huwa hawashauriki, cause anakuwa ameshaathirika kisaikolojia.. Na ukifosi kumpa ushauri mtagombana utakuwa adui yake,ataona unataka kumgombanisha na kipenzi chake.. Dawa ni kumuacha hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho,, atachemsha tu, Au karogwa nn????

Karibu sana Mosskiss katika jamvi letu..

:focus: Hata mimi nina wasiwasi jamaa atakuwa kaathirika kisaikolojia maana hashauriki.
 
Hilo la kusafiri na kupeana likizo la muda linaweza kuwa sehemu ya ufumbuzi, lakini kutowacha matumizi..... tukumbuke kuwa wana mtoto. Si haki kwa huyu mtoto kuteseka kwa sababu ya migogoro ya wazazi wake.

:focus:Tatizo huyu jamaa laini sana, hawezi hata kukaa na kuzungumza na mkewake? Kama tu tungelikuwa na utamaduni wa kuongea matatizo yetu, "pros and contra", tungefika wakati tunachukua misimamo ya kati na kufikia maelewanao. Inavyoonesha huyu jamaa hawezi kufanya lolote, kwa hiyo hata kama ataenda kwa wazazi, washenga, atapata ushauri wa marafiki na wataalamu... ikiwa hatajinasua na mtindio wake wa maamuzi, hakuna litakalobadilika. Ni juu yake kushika hatamu.
Saa nyingine unatakiwa ku make
extreme decision..
ni bora huyo mwanaume afanye kitu chochote
ku serve ndoa yake..
Kama itambidi aondoke bila kuacha chochote
Basi afanye hivyo..
ni bora aondoke kwa wiki au mbili kuliko talaka
Kama itambidi amchukue mwanae wa endelea waka msalimie
bibi ..
 
Oooops!!! ndo shida ya kuoa Mama wa nyumbani wanabana hadi PENATI!!!
Kama hawana WATOTO amwage chni but kama wanao basi AONESHE U FATHER HOUSE!!!!!
 
Ahahahaaaaahh!! Fidel80 acha utani bana, mwanamke mwenyewe hata nikimsalimia salamu anaitikia kwa unyonge, nitaanzaje kumtongoza.

Nakwambia mpe appointment uone, mwambie shemeji leo nataka nikupe surprise lazima atakuja tu
 
Kuna weekend moja tulienda na jamaa kumsalimia rafiki yetu mmoja alikuwa mgonjwa, bahati mbaya tulichelewa kurudi kutokana na tatizo la usafiri. Yaani ilikuwa ni kero kila baada ya muda jamaa anapigiwa simu......uko wapi......uko na nani.....mpe simu niongee nae........dah!! wivu wa namna hii umepitiliza..
 
Back
Top Bottom