Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 563
- 1,364
Wakuu suura....
Nina jamaa yangu kanipa kisa cha mkewe ambaye ni mfanyakazi wa shirika fulani, jamaa anadai mkewe kamwambia mfanyakazi mwenzie ambaye wanaheshimiana sana na wamekuwa pamoja ofisini miaka kadhaa kabla hata hajaolewa na jamaa yangu kwamba kaomba mzigo.
Jamaa yangu analalama mbona yule jamaa anafanya hivyo kuomba k kwa mkewe imekuaje! Binafsi nimemwambia hakika kuna mazoea makubwa yamekuwepo wakati huu tofauti na kipindi cha nyuma na huenda hayo mazoea ndiyo yamemshawishi jamaa kuomba mzigo ukizingatia jamaa yangu ye anafanyia kazi mkoa tofauti yaani ye yupo Geita.
Mkewe na family wapo Mwanza but jamaa yangu anakuwepo sana Mwanza mara kwa mara so nimemwambia ambane mkewe aseme imekuajekuaje wakati huu ndio aombwe mzigo lazima kuna namna ya ukaribu wny hisia za kmapenz na huwenda at last ataliwa tu maana wapo ofisi moja. Je, wakuu mnasemaje hapo au shemeji ameshaliwa kaja shtaki kama geresha tu.