Anakatazwa kutoka ndani!!

Katavi vipi leo jamaa bado kawekewa ngumu na wife wake isije ikawa kakatazwa hata kwenda kazini hebu cheki na mshikaji wako banaa:lol::lol:
Ahahahaah!! Jana alikuwa na hasira sana dhidi ya mkewe, niliongea nae kwa kirefu na kumpa baadhi ya ushauri kutoka hapa. Kumbe usiku wa kuamkia juzi ndio alilala sebuleni.
 
Kuna vitu vingine sio vya kucheka Katavi lakini hii ishu ya jamaa kulala sebuleni inanifanya nicheke utafikiri hana kitanda banaa
 
Mwambie mshikaji aache mambo ya uzungu ya kuweka haki Sawa,waswahili hiyo siyo yetu. Oneday atembeze kichapo cha kufa mtu na kisha akalale hotel hata wiki Na akirudi unyambisi unyambisi tu, week 2 tu ataoNA anajua NANI Baba Na nani mama.
 
Kuna vitu vingine sio vya kucheka Katavi lakini hii ishu ya jamaa kulala sebuleni inanifanya nicheke utafikiri hana kitanda banaa
Mimi mwenyewe jana aliponisimulia nilicheka sana, eti kisa walikorofishana kidogo tu mwanamke akasusa akaenda chumbani akafunga mlango, sasa jamaa alipochoka kaenda kulala kakuta mlango umefungwa, akagonga bila mafanikio ikabidi akalala sebuleni. Nyumba yake ina vyumba viwili vya kulala, kimoja analala h/girl na mtoto..............nilipomdadisi sana inaonekana sio mara ya kwanza kulala sebuleni
Dah!! Kama mambo yenyewe ndio haya bora kutooa kabisa...
 
Aiseee!!!! Kazi kweli kweli ukiweza kumdadisi huyo HG atakwambia ishu kibao huyu jamaa inabidi umwambie agangamale he should be tough and act like a man
 
Katavi hakuna sababu ya kumdadisi sana HG, utakuwa umeingilia sana mambo yake. Mpe ushauri tulokupa kama hataelewa temana nae, endelea na ishu zako. Na tujadili ishu zenye kutujenga, jamaa amekua kama mbuzi hata umpige gitaa na ngoma hatokuelewa. Kaamua mwenyewe kuishi hayo maisha. Katavi ukicheza jamaa atakuona wewe ndo mbaya, kumbuka anampenda mkewe na yuko tayari kufanya na kusikiliza kila anachosema Bi Mkubwa. Ushauri wangu, kama umeshamshauri na kumuelekeza yapi yakufanya ili kumnusuru na hakuelewi, si umwache! nilisema huyu jamaa ana moyo wa plastic ndo maana haoni shida kulazwa sebulen wakati yeye ndo anamtunza huyo Mama.. Ni akili gani lakini hi? Au wadau nyie mnaonaje?
 
Me nimempa makavu, kazi iliyobaki ni yeye kuamua kusuka au kunyoa!!
 
Yer, mwache aendeleze mwenyewe, ila hakikisha kuwa umempa ushauri sana. Naomba nikuulize"ushauri ulompa aliupokea au alionekana kumwogopa mkewe ? Manake kama anamwogopa Bi Mkubwa hakuna kitu tunafanya hapa, ataanzaje kutekeleza mikakati ya kurekebisha wakati mke ni Mbabe wake.
 
Amesema eti atakuwa mkali hivi sasa, sijui ni kweli au alikuwa ananipiga sound.
 
Back
Top Bottom