Spinster
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 487
- 138
Usifurahi....safari imisha ata kabla haijaanza...mrembo kasemaa sina vigezo baada ya maongezi machaache huko chemba
Mi nilitaka kushangaa pia, wewe huyooo
Usifurahi....safari imisha ata kabla haijaanza...mrembo kasemaa sina vigezo baada ya maongezi machaache huko chemba
somebody kapitia badi experience
Sio mie ni yeye mwenyewe kasema kuwa mie aina vigezo sasa nitafanyaje....wannawake wa jf wanataka wanaume wenye hela sie bodaboda hatuthaminiwiMi nilitaka kushangaa pia, wewe huyooo
Huyo mtoto ulie nae babaye yuko wapiHabari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo,nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1.Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato
Mengine tutajuzana PM, karibu.
Nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri. Nitaufanyia kazi. Ubarikiwe nduguPia tengeneza profile nzuri, picha decent hasa za outdoors, usiedit sana zikapoteza uhalisia.. kisha zitupie, kwenye dating app
kama
okcupid, Bumble, tinder, blackwhite, etc.
Huko napo unaweza kupata mwenza,
Umakini unahitajika kufahamiana na watu wapya wa mtandaoni, so kama kukutana ziwe sehemu public yenye watu wengi kama (mlimani city) .. toa taarifa kwa mtu wako wa karibu ajue exactly wapi unakwenda ...
Usitume taarifa za documents kuhusu wewe kwa mtu suitemfahamu unless umehiahkikishia usalama..