Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Habari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo,nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1.Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato

Mengine tutajuzana PM, karibu.
Mbona hivi leo wa pili huyu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom