Picha pm tafadhali &contact pmSawa
Tukuone shemeji mtarajiwa🤔 I see!
Ila yeye anaishi mkoaniHaina shida
Wapo seriousMmeshanitisha mkuu, anyway nawashukuru kwa hilo!
njoo pmHabari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo,nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1.Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato
Mengine tutajuzana PM, karibu.
38y kwanini umechelewa sana dada yangu? ona sasa unaokota watu hovyo mitandaoni