Amueni wenyewe bila kupendelea

sitomfukuza housegirl...........
Kwa maana kama anafanya kazi vyema na naridhika kwa nini nimfukuze? Kupata wadada waaminifu na wachapakazi ni ngumu.

Nitakachofanya ni kumuonya kama mdogo/mtoto wangu....

Na nitamkanya huyo bazazi....

Na kufuatilia nyendo za binti
asante ila malipo ni hapa hapa
 
Ndio nabalasa tena namtoa race na relay au olimpic kabisa!!! Beki tatu akishajua utamu wa Dudu bana kheri umtimue tu, maana mtakuwa mnagombea kukaa kwenye kioo siku nzima. Sasa akisha fanya hivo afu akajua umejua na umemuacha atabeba mimba kabisaa afu ndo utajua cha kuwaeleza kijijini kwao, kama ulipewa umuuze au akufanyie usafi

Ivi kuna housegirl ambaye hukung'utwi kweli?? Maana wengi anapiga baba mwenye nyumba kwa wakati wake....kijana wake mkubwa naye anajisevia kwa muda wake, house boy ndo kamfanya kama mke... wageni walokuja home nao kivyao kadhalika mangi wa duka la jirani ila hakuna anayejua kuwa wako kwenye mtandao...Haya ndio maisha ya beki 3.
 
Hausi geli hana kosa,kwani yeye si alitongozwa!! .......angekua hausi geli ndio aliyemtongoza huyo jamaa ndio angekua anakosa. mwambie ambebee mimba kabisa.
 
tatizo la kuishi uswazi lazima uadapt vitabia vya uswazi...kwanini usimpotezee tu...kwanini umruhusu house gal wako atembee na mme wa mtu..? What goes around come around mkuu...
 
mimi sijamruhusu wamependana wenyewe
 
kwani anachokifanya hauz geli wako kwa mwanamke mwenzio mwenye mume wake ingekuwa unafanyiwa wewe ungefurahiii???...

kama jibu ni ndio basi usimfukuze hausi geli wako na

kama jibu ni hapana basi sasa hivi mpigie cmu mwambie apakie kila kilichokuwa chake kesho asubuhi anasafari kwao kijijini kuna tatizo anatakiwa haraka na

kama jibu ni sijuwi basi hama hiyo nyumba unayoishi amia mbali kabisa ili usihusishwe kwa shughuli yoyote na hiyo nyumba anayotendewa uovu mwanamke mwenzio.
 
kwa kweli sijui ahame yeye kama vipi
 
nimefurahi kweli mama anajiona babu kubwa

Wewe hujafuata ushauri hapa ila naona kama umekuja kutafuta sympathy tu hapa..
Manake unaonekana umekaa uswazi na umeadapt maisha ya kiswazi...
Hata kama huyo jirani yako ana majidai lakini kwa faida ya beki3 wako hebu mkanye kama vipi hama hapo!!
 
Am trying to thing loud now..

Umesema alikutongoza wewe ukamkataa....kisha akamtongoza hausi geli wako akamkubalia wakaanza kula tunda.

1- engineer wangu ina maana wewe na hausi geli wako mnafanana kwa viwango vya urembo na kumtamanisha mme wa mtu?

2- you sounds too cheap mpaka jamaa kakuweka level moja na house geli wako... Haiwezekani wewe uwe demu mkali kisha house geli wako awe super substitute wako kwa mwanaume smart na aliyekutaman wewe.

Hata mie nikikosa bia nitakunywa konyagi kiroba sio fanta orange....sawa na wewe kakukosa wewe landcruiser v8 ndio akusubstute na bodaboda kweli?..au wewe ni bajaj kaamua kukaa karibu na usafiri wenye hadhi karibu na yako wa bodaboda?

3- au mwanaume mwenyewe naye chizi tuu..lakini pia wewe engineer inakuwaje hata machizi wanakutongoza??..huoni wala kuhisi kuna kitu hakiko sawa kwako??

anyway..ni maoni yangu na mtazamo chanya ila nje ya box la fikra za jumuiya.
 
umeua mkuu...
 
huo ni mtazamo wako haunisaidiii hata ningekuwa cheap ningempa
 
housegirl wa elfu 30 unaona ni issue? nikisema nina m 200 benk si utakufa?

kama una pesa mumy kwa nini unarent nyumba ya kushare?me hayo mambo ya kushare nyumba uswahilini yamenishinda kabisa bora nikope lakini nilale ndani ya geti langu unaona sasa unakereka na kujichunia dhambi za kujishtukia
 
kazi ipo.mimi marafiki zangu wengi ni wanaume tu,maana wanawake wenzangu naona mmh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom