Amueni wenyewe bila kupendelea

wanawake ndio maana hamuendelei. mtu akikuletea nyodo unampotezea sio kuchekelea mumewe anacheat na hg wako. yaani nimesikitika. sitashangaa ukisema huwa unakaa wapangaji wenzako na kuanza kumzodoa
 
Am trying to thing loud now..

Umesema alikutongoza wewe ukamkataa....kisha akamtongoza hausi geli wako akamkubalia wakaanza kula tunda.

1- engineer wangu ina maana wewe na hausi geli wako mnafanana kwa viwango vya urembo na kumtamanisha mme wa
mtu?

2- you sounds too cheap mpaka jamaa kakuweka level moja na house geli wako... Haiwezekani wewe uwe demu mkali kisha house geli wako awe super substitute wako kwa mwanaume smart na aliyekutaman wewe.

Hata mie nikikosa bia nitakunywa konyagi kiroba sio fanta orange....sawa na wewe kakukosa wewe landcruiser v8 ndio akusubstute na bodaboda kweli?..au wewe ni bajaj kaamua kukaa karibu na usafiri wenye hadhi karibu na yako wa bodaboda?

3- au mwanaume mwenyewe naye chizi tuu..lakini pia wewe engineer inakuwaje hata machizi wanakutongoza??..huoni wala kuhisi kuna kitu hakiko sawa kwako??

anyway..ni maoni yangu na mtazamo chanya ila nje ya box la fikra za jumuiya.

Una matusi sana wewe!Kwa hiyo wanaume wanaotembea na barmaids/housegirls wao ina maana wake zao na hao watu wapo level moja?Kwani mwanaume anachotaka ni nini?Si apate sehemu ya kumwaga sha..........zake tu.Kwa akili zake hata kopo akipata atamwaga tu.Kwa hiyo hilo halijalishi.
 
Mimi wa kwangu nampelekaga daycare.

Huko day care wanapokea hata watoto wa miezi minne wanaojinyea?Wana hamu sana ya kuona ...vi wao eeh?Na wanarudi muda sawa na wewe.Hata Jumamosi hutoki wala kwenda sokoni,gereji wala kikaoni?Akifikisha umri wa daycare sawa.
 
Sioni sababu yoyote ile ya kuwa na housegirl iwe uko kwenye ndoa au la.
Nyani Ngabu inafikia mahali unahitaji housegirl, na tena inakuwa ni lazima unless uwe na ndugu atakayekubali kukusaidia. lakini wakikutibua utajuta! hutawataka tena wallahi!
 
Last edited by a moderator:
Toka Uswazi, tafuta nyumba kwa walalahai, hayo mambo hayatakufika......!!!
 
asante ila malipo ni hapa hapa

umenena vyema!ulikumbuke hilo siku yakikukuta ww,mume wa mtu kama nyama ya binadamu vile!sasa wewe endelea kumchkea huyo msichana anapochukua mume wa jirani yako,kuna siku atabeba wako!na hata kama huna mpango wa kuolewa,si kuna kajamaa kapo mnatoana kutu za nyuchi sasa huyo huyo,ndo atabebwa!
acha visasi visivyo na sababu
mkanye huyo binti na mkemee huyo mume wa mtu.!kuna siku isiyo na jina utakumbuka maneno haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom