Amueni wenyewe bila kupendelea

mimi ai

Member
Apr 2, 2012
89
30
wewe ni mwanamke hujaolewa unaishi na housegirl wako
unaishi nyumba moja na mtu na mkewe
huyo mwanamke ana madharau balaa ,anaringa kweli na kuolewa anarusha vijembe eti ringia bahati usiringie uzuri.mumewe hajatulia hata kidogo anakutongoza unamkataa.bahati nzuri au mbaya anahamia kwa housegerl wako anakubaliwa.unafanya juhudi mkewe ajue .anajua anakuomba umfukuze msichana wako utakubali?
 
Ndio nabalasa tena namtoa race na relay au olimpic kabisa!!! Beki tatu akishajua utamu wa Dudu bana kheri umtimue tu, maana mtakuwa mnagombea kukaa kwenye kioo siku nzima. Sasa akisha fanya hivo afu akajua umejua na umemuacha atabeba mimba kabisaa afu ndo utajua cha kuwaeleza kijijini kwao, kama ulipewa umuuze au akufanyie usafi
 
mimi nafurahia huyu mama alikuwa na nyodo sana
 
Jiangalie kwanza wewe
Hivyo vijembe yawezekana unajihisi sababu unatamani kuolewa kwa sasa au hii 'kuolewa' thing iko mawazoni mwako sana.
Engineer mzima ukae unahangaika na vijembe vya mama wa nyumbani?

Kuhusu kumfukuza hausi gelo wangu kwa ugomvi nisioujua siwezi
 
Kwa hiyo unafurahia mateso ya huyo mama sababu ana nyodo??
Wasichana bana mna mambo

Kumbuka unaongelea familia ya mtu hapo, je hilo adhabu inalingana na kosa alilokufanyia??

Mtu anaiba kuku unamhukumu kifo lol

mimi nafurahia huyu mama alikuwa na nyodo sana
 
Usilipize baya kwa jema, mume anauma jamani, Huyo mtoto namtoa nduki apeleke u fyox wake huko huko................
 
Kwa hiyo unafurahia mateso ya huyo mama sababu ana nyodo??
Wasichana bana mna mambo

Kumbuka unaongelea familia ya mtu hapo, je hilo adhabu inalingana na kosa alilokufanyia??

Mtu anaiba kuku unamhukumu kifo lol
alitumwa na mimi au nini
 
sitomfukuza housegirl...........
Kwa maana kama anafanya kazi vyema na naridhika kwa nini nimfukuze? Kupata wadada waaminifu na wachapakazi ni ngumu.

Nitakachofanya ni kumuonya kama mdogo/mtoto wangu....

Na nitamkanya huyo bazazi....

Na kufuatilia nyendo za binti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom