Unajua FL1,hii ni ngumu kama wanawake ndio wamefumaniwa.Mbona wanaume huwa wanasamehewa mara nyingi na maisha yanaendelea????.
Mnakumbuka tu viapo vya kanisani afu unafumba macho
Ndio utafute sababu sasa? alikosea sana alipomnunia,wanawake ndio wenye tabia ya kununa.Alipaswa KUVUNJA UKIMYA.Angejua tu chanzo cha hayo yote kisha ndipo angechukua hatua....
Ndivyo walivyo.Si unaona wanavyojihalalishiaga infidelity?Hawajui kuwa muosha huoshwa.Na mara nyingi sana wanawake huwa wavumilivu sana.Ukiona amefikia hatua hiyo ujue kuna jambo......tena toka wakati wa uchumba na urafiki kulikuwa na tatizoHawa Jamaa huwa hawakumbuki ile methali ya mkuki kwa Nguluwe ......
Hawa Jamaa huwa hawakumbuki ile methali ya mkuki kwa Nguluwe ......
Huyo dada alikuwa ameficha makucha na inalekea ni tabia yake.Kuliko nife na UKIMWI nashukuru mungu amenionyesha tabia yake mbovu mapema na alivyofanya ni sahihi kabisa, BIG UP MAN!!!
Tupo pamoja DL,sema wewe unapitia buguruni na mimi magomeni lakini wote tunaenda Ubungo.Tatizo lao hao walikuwa hawazungumzi.Kuna chanzo cha tatizo na huyo kaka kama baba wa nyumba alitakiwa kuwa makini zaidi kujichunguza yeye na mkewe.Asipoangalia ataishia kuacha wake,what if yeye ndo mwenye matatizo na anaenda kwenye ndoa ya pili bila kutatua?ZD.. Kuleta mwanamme ndani sio solution!! Kaa sema nae. Mwishoe ni magonjwa!
Sasa Dreamliner kwenda nyumba za wageni na kufanyia hapo nyumbani kuna tofauti?yote si uzinzi tuuuuuu?????pamoja na hayo FL1.. Si mwende nyumba za wenyeji? ziko nyingi sana kuliko kuja nyumbani!
Tupo pamoja DL,sema wewe unapitia buguruni na mimi magomeni lakini wote tunaenda Ubungo.Tatizo lao hao walikuwa hawazungumzi.Kuna chanzo cha tatizo na huyo kaka kama baba wa nyumba alitakiwa kuwa makini zaidi kujichunguza yeye na mkewe.Asipoangalia ataishia kuacha wake,what if yeye ndo mwenye matatizo na anaenda kwenye ndoa ya pili bila kutatua?
Sasa Dreamliner kwenda nyumba za wageni na kufanyia hapo nyumbani kuna tofauti?yote si uzinzi tuuuuuu?????
Unajua FL1,hii ni ngumu kama wanawake ndio wamefumaniwa.Mbona wanaume huwa wanasamehewa mara nyingi na maisha yanaendelea????.
Mnakumbuka tu viapo vya kanisani afu unafumba macho
bro au ulikuwa humfikishi huyu mama kunakotakiwa ndio maana akatoka nje ya ndoa?au ni wake wa zamani walikuwa wanakumbushia tu lakini kitu kizuri huwezi kula mwenyewe lazima ushee utajuaje kama anamvuto?

Haya ni mambo ya kuyasikia kwa wenzio tu na kuomba yasikikute. Siku yakikukuta la kufanya ujua mbele kwa mbele.
ZD, ... kufanyia home na guest house wote ni uzinzi ila kuna tofauti kubwa saaana. Ndo maana hata kama wanaume wanaamini infidelity ni gift muhimu aliyowapa Mungu, lakini wanaungana kwenye jambo moja la msingi kwamba lazima my wife wako asijue. Kwa hiyo kulete mtoa huduma nyumbani ni kosa la jinai. Sasa kama mwanaume haleti home, make akileta si ndo balaa!