Amfumania mke wake 'live' fundisho.

Huyo dada alikuwa ameficha makucha na inalekea ni tabia yake.Kuliko nife na UKIMWI nashukuru mungu amenionyesha tabia yake mbovu mapema na alivyofanya ni sahihi kabisa, BIG UP MAN!!!
 
Unajua FL1,hii ni ngumu kama wanawake ndio wamefumaniwa.Mbona wanaume huwa wanasamehewa mara nyingi na maisha yanaendelea????.
Mnakumbuka tu viapo vya kanisani afu unafumba macho

Hawa Jamaa huwa hawakumbuki ile methali ya mkuki kwa Nguluwe ......
 
pole kaka kwa kufumania na unamoyo mm nahisi ningekufa kumbe ndio mchezo wake nakuomba uende angaza ukapime afya yako by mkuki
 
Ndio utafute sababu sasa? alikosea sana alipomnunia,wanawake ndio wenye tabia ya kununa.Alipaswa KUVUNJA UKIMYA.Angejua tu chanzo cha hayo yote kisha ndipo angechukua hatua....

ZD.. Kuleta mwanamme ndani sio solution!! Kaa sema nae. Mwishoe ni magonjwa!
 
Hawa Jamaa huwa hawakumbuki ile methali ya mkuki kwa Nguluwe ......
Ndivyo walivyo.Si unaona wanavyojihalalishiaga infidelity?Hawajui kuwa muosha huoshwa.Na mara nyingi sana wanawake huwa wavumilivu sana.Ukiona amefikia hatua hiyo ujue kuna jambo......tena toka wakati wa uchumba na urafiki kulikuwa na tatizo
 
Huyo dada alikuwa ameficha makucha na inalekea ni tabia yake.Kuliko nife na UKIMWI nashukuru mungu amenionyesha tabia yake mbovu mapema na alivyofanya ni sahihi kabisa, BIG UP MAN!!!

Kiongozi.. wewe ungefanyaje?:confused2:
 
ZD.. Kuleta mwanamme ndani sio solution!! Kaa sema nae. Mwishoe ni magonjwa!
Tupo pamoja DL,sema wewe unapitia buguruni na mimi magomeni lakini wote tunaenda Ubungo.Tatizo lao hao walikuwa hawazungumzi.Kuna chanzo cha tatizo na huyo kaka kama baba wa nyumba alitakiwa kuwa makini zaidi kujichunguza yeye na mkewe.Asipoangalia ataishia kuacha wake,what if yeye ndo mwenye matatizo na anaenda kwenye ndoa ya pili bila kutatua?
 
Wengine ni tabia zao mbaya tu ZD.. Hata useme nae vipi.. Ila Solution sio umegwe/umege nje ya ndoa..
 
bro au ulikuwa humfikishi huyu mama kunakotakiwa ndio maana akatoka nje ya ndoa?au ni wake wa zamani walikuwa wanakumbushia tu lakini kitu kizuri huwezi kula mwenyewe lazima ushee utajuaje kama anamvuto?
 
Huu msemo huu:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:
 
bro au ulikuwa humfikishi huyu mama kunakotakiwa ndio maana akatoka nje ya ndoa?au ni wake wa zamani walikuwa wanakumbushia tu lakini kitu kizuri huwezi kula mwenyewe lazima ushee utajuaje kama anamvuto?

Mkuki!! Kwa maelezo ya Mshikaji.. Mimi nilihisi ni mtu wake wa zamani.. Wengine wetu,, kwenye ndoa bado tuna ile OLD is GOLD
 
bro au ulikuwa humfikishi huyu mama kunakotakiwa ndio maana akatoka nje ya ndoa?au ni wake wa zamani walikuwa wanakumbushia tu lakini kitu kizuri huwezi kula mwenyewe lazima ushee utajuaje kama anamvuto?

Hivi, hata mkeo/mumeo mle na mwenzio kweli inakuja hiyo? Mbona haiingii akilini?
 
Haya ni mambo ya kuyasikia kwa wenzio tu na kuomba yasikikute. Siku yakikukuta la kufanya ujua mbele kwa mbele.

ZD, ... kufanyia home na guest house wote ni uzinzi ila kuna tofauti kubwa saaana. Ndo maana hata kama wanaume wanaamini infidelity ni gift muhimu aliyowapa Mungu, lakini wanaungana kwenye jambo moja la msingi kwamba lazima my wife wako asijue. Kwa hiyo kulete mtoa huduma nyumbani ni kosa la jinai. Sasa kama mwanaume haleti home, mke akileta si ndo balaa!
 
Haya ni mambo ya kuyasikia kwa wenzio tu na kuomba yasikikute. Siku yakikukuta la kufanya ujua mbele kwa mbele.

ZD, ... kufanyia home na guest house wote ni uzinzi ila kuna tofauti kubwa saaana. Ndo maana hata kama wanaume wanaamini infidelity ni gift muhimu aliyowapa Mungu, lakini wanaungana kwenye jambo moja la msingi kwamba lazima my wife wako asijue. Kwa hiyo kulete mtoa huduma nyumbani ni kosa la jinai. Sasa kama mwanaume haleti home, make akileta si ndo balaa!

Hili nalo neno DC
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom