Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

, Mimi kwa sasa nimepata mpenzi mpya ambae anaelimu ya chuo sio mshamba kama huyu wa zamani.

Ama kweli fadhila mfadhili punda..Leo hii amekua mshamba wakati amekua na wewe angali huna mbele wala nyuma...duh! Hivi bila yeye hiyo elimu ya chuo unayoringia ungeipata?? Hata kama hupendi mtu kuwa mstaarabu kidogo..!

Usisubiri akufumanie we mfuate mueleze uso kwa uso kama una ujasiri huo...naamini atakuelewa.!
 
Hapa ndiyo roho inauma saana... Siyo mwanaume but naweza pata picha ya maumivu, dissapointment na kukata tamaa kutakako kuja kwa huyo kaka. Roho imeniuma kana kwamba ni kaka yangu ama ndugu yangu anamfanyia hivyo. Na roho inaniuma zaidi kuwa umewaharibia wanawake wengine watakaofuata baada yako kwa huyo kaka.

Huna hata mshipa wa haya... Unadiriki kusema kuwa unaona hamuendani sababu hana elimu. MKINDE dear, hivi unaweza niambia kuwa elimu inahusiana vipi na mahusiano yenu? Kwamba ushakuwa wa juu sana sababu una elimu na yeye kawa chini ya kiwango kwako? Ni kitu gani unataka? Unataka muwe mnafanya discussions za vitu vya darasani mnapokuwa pamoja?

Naamini kabisa kuwa mapenzi hayalazimishwi! Lakini tafadhali mpe huyo kaka/baba heshima yake anayostahili kwa kumthamini, kumueshimu kiasi kwamba hata ukitaka kutengana naye weka dharau yako pembeni na ueleze juu ya hisia zako zilizo hasi juu yake lakini usianze sababu za kitoto!

Hata hivyo nakusihi, kwa age hiyo unaona huyu hafai sababu siku zote ulikuwa nae na yawezekana hujapata heka heka ya wanaume jeuri! In the dating world hakuna jipya huko, na inawezekana ukafika wakati huko mbele ukajuta na ukatamani ni kheri ungebaki huko huko.

Sad. Nina msemo... Usipotaka kujifunza toka kwa wenzio, utajifunzak wako mwenyewe (The hard way).

much respect madam
naogipa hata kuchangia maana nahisi sina zaidi ya matusi sijui anataka kudiscus nn zaidi ya maisha labda vitu vya darasana,ndo najiuliza hapo nani mshamba yeye au huyu bro?mapenz na shule vinahusiana nn kama sio ulimbukeni wengoja adate na hcho kisharobaro chake ipo siku atajua swagger does nt pay the bills
 
Si kweli kama kuna ukweli basi ni kidogo. sana ata pata wapi nguvu za kumudharau mutu anaye kusomesha na kumtunza rabda kama ni Mwenda wazimu
 
I hate you>>> Na ulaaniwe utakapomfanyia mfadhili na mapenzi wako hayo uliyosema. Sheatani amekuatafuta na amekupata kwa njia hii ya kipuuzi. Elimu yako haindoi ukweli kuwa kuwa wewe ni yatima na umekuwa ulivyo sasabu ya huyo unaemwiita mshamba leo baada ya kuona mwanga. Sikutakii baya ila unaweza kupata laana ya kuacha watoto kumi yatima kama wewe. I said again I hate you and whatever you put here , u call thread. agrrrrr.
 
...sasa kama ulijua ni mshamba, au freemason, kwa nini tangu mwanzo ukakubali akugharamie namna hiyo? wewe una tamaa!!!na hiyo itakukosti!! sasa ushalikoroga na ulinywe!! wala sikupi pole kwa kuwa umejitakia! kwani huna akili timamu?aaagghhhrrrr!!!!

Mia! na ndicho kinachowagharimu dada zetu,kwanini alijilia vya watu kama hakuwa comfortable naye from very early,its too late!think before u act!
 
Kwa haya nayoyaona bado naamini uamuzi wangu wa kutokuwa na mwanamke ni wa busara kwa sasa.
 
kama nakuona unavyoongea kwa uchungu
naumia serious!mnapoteza sana lulu wadogo zangu!
naumia sana kwa jinsi watu wanajinyima nafasi ya kuruhusu kupendwa na kuthaminiwa!
wangujeu kuwa ndoa ni zaidi ya kuchomekea suruali na kuvaa supra!walahi wangerudi kwa hawa wanaume wangerudi nakwambia lakini hawajui!hawajui na watakuja kujua muda ukiwa umepita sana!mnoooo!
cc amu
 
Last edited by a moderator:
Huwa nikiona thread kama hizi wakati mwingine sishangai kuona malipizi mnayofanyiwa na wanaume. kwasababu wameshatuona sie hamnazo!

hapa sipingi kama kweli anamfanyia hivyo kaka wa watu na yeye yatamkuta magumu punde tu ataleta thread ya kujuta humu, ngoja tuisubiri.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 Naishi Tabata jijini Dar nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana.

Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia sana yani kuanzia nguo zote hadi chakula nacho kula vyote ni msaada wake yeye na amejitolea kuninunulia gari la kutembelea na kanambia nitafute kiwanja ili tujenge nyumba ya kupangisha.

Ila mimi kwa sasa naona kama huyu mwanaume hatuendani kwani yeye hana elimu ila anafanya kazi kutumia akili ya kuzaliwa, Jamani mimi nataka kuishi na msomi mwenzangu ila huyu kaka mimi naona kama freemasson kwani kanisaidia sana asije akanitoa kafala, Mimi kwa sasa nimepata mpenzi mpya ambae anaelimu ya chuo sio mshamba kama huyu wa zamani.

Sasa please naombeni ushauri wenu jamani nimwambiaje kama sipo tayari kuishi na yeye huyu mpenzi wa zamani bila kuumiza moyo wake...?

Kwa gharama halisi ya maisha - shule ya msingi hadi chuo inaweza kugharimu kama 40mil TZS na Vitz gharama yake ni 11mil TZS - kwahiyo kwa haraka haraka tafuta wakili/mwanasheria halafu mrudishie pesa yake takribani 50mil TZS! Baada ya hapo mwambie kuwa umepata mwanaume mwingine mwenye degree kumi kama Robert Mugabe! Hakikisha haya maneno unayatoa mbele ya maafisa wa Polisi!
 
Kwanini ulikubali akusomeshe na kukugaramia wakati ulikuwa unajua ni mshamba na hamtaendana ? Kweli hata ukiuliwa ni halali kabisa . Unatema big g kwa karanga za kuonjeshwa . We utakuwa mpuuzi mwili mzima .
 
Akili yako ata ya kuku inaafadhali!
Mbwa kasoro mkia wewe.

Yaani umenichafua kupitiliza,kenge wewe.

Mmmmmmmmmmmmmwewe!!!!
Bata mzinga wewe!
Kondoo wa kichina!!!!!
Division-0 wewe!!!

Punda wewe!!!
Ngoja nikakumbuke tusi jingine linalokufaa kisha ntarudi kuongezea,

Unawadhalilisha wanawake wasomi mpuuzi sana wewe!!
 
Yaani dogo we acha tu naona ameamua kutuzingua na stori za kuturusha roho,mwambie mimisa na mi namsalimia afu nimemiss sana.
Huyo ni form six liva kaanzisha thread ili achangamshe jukwaa tu hana lolote, muambieni asubiri mulugo awatende.. mimisa anakusalimia
 
Last edited by a moderator:
Sasa si ungemtafuta msomi kabla ili akusomeshe? Asingekuwa huyo bwana ungesoma? Hamwendani? What Disgusting statement. Alipokununulia gari kwanini hukulikataa kwa vile "hamwendani"? mna dharau sana nyie watu!!!!!
 
umeona dada ni ngumu kujua mpaka uingie ndani ndoa si mchezo a tamthilia kama anavofikiri ni zaidi ya degree na huo anaita ushamba ngoja dunia imfunze.
naumia serious!mnapoteza sana lulu wadogo zangu!
naumia sana kwa jinsi watu wanajinyima nafasi ya kuruhusu kupendwa na kuthaminiwa!
wangujeu kuwa ndoa ni zaidi ya kuchomekea suruali na kuvaa supra!walahi wangerudi kwa hawa wanaume wangerudi nakwambia lakini hawajui!hawajui na watakuja kujua muda ukiwa umepita sana!mnoooo!
cc amu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom