Ngoja niku PM. Mzee
JF tunasema "WHERE WE DARE TO TALK OPENLY" maana yake nini? Mnaogopa nini kuweka wazi. Kam mtu kaukwaa tatizo nini kumsema hapa. Hisia ninazopata hapa nikuwa WE CANNOT DARE TO TALK OPENLY
Basi namimi ni-PM
Ngoja niku PM. Mzee
...Bravo RR, yaelekea hizi habari zinaenda kwa kujuana kila mtu ni mpaka apewe PM sijui inakuwaje au JF siku hizi habari kwa kujuana?? Wekeni mambo hadharani jamani tujue huenda akawa amepitia hata kwenye mitaa yetu huyo"Fisadi"Kama JF imekuwa na mijadala kwa mtindo wa PM, then naomba na nipate hizo PM.
na mimi mni PM
asanteni
JF ni ya wenyewe, na wenyewe ndiyo wanaoji-PM, na ndiyo WAONGO WAKUBWA WA KUSEMA MAOFISA WANAOKATALIA HABARI HALAFU ETI JF is WHERE WE DARE TO TALK OPENLY,
Sahau hakuna PM utakayopata maana wenye JF wameamua wameamua kutumia PM kupashana habari hapa maana mmezidi kutafuta habari wakati wao ni WAOGA KAMA KUNGURU kutoa habari inapotokea mhusika wa habari hiyo ni MWENZAO kama LIYUMBA